Recent content by Class 1

  1. C

    Wanaume wenzangu, kabla ya kuamua kuingia ndoani fanya kama mimi

    Dada wewe sio mke mwema hata kidogo,Ni Gold digger,yaani hapa mtandaoni tu ushaonekana,Yani usijaribiwe ili iweje,Kama wewe Ni Bora huwezi kuogopa majaribu Sent from my itel P32 using JamiiForums mobile app
  2. C

    Mdau anaomba ushauri mchumba hapokei simu

    Haya maneno Ni makuu na yadumu ee mpendwa wetu Carlos kutoka Efeso[emoji23] Sent from my itel P32 using JamiiForums mobile app
  3. C

    Kala vizuri na Lodge nimelipia ila Kagoma kunipa Mbususu

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  4. C

    Unamchukuliaje mtu anayejipost post whatsApp status?

    Usifanye maisha kua magumu kiasi hicho, acha chuki, wivu, acha watu waishi maisha yao. Nawe ishi yako, Mute, dunia tunapita.
  5. C

    Msaada wa namna ya kumfanya mwanamke wangu amsahau EX wake

    Mkuu una akili Kama zangu,watu wamesahau kichwa Cha habari Cha huyu jamaa,alafu huyu jamaa nae kwa ujinga wake anajifariji. Hapo juu katuambia afanye Nini ili Mwanamke wake amsahau ex wake,akasisitiza kua Kuna kumbu kumbu nyingi kafanya na ex wake huko nyuma,kwenye comment anageuka na kusema...
  6. C

    Mke wangu anapitia wakati mgumu sana hadi nimemuonea huruma

    Ingawa mkuu nishakusoma wewe ni mtu wa Aina gani,kutokana na uandishi tu,Muno,hanajua,Mahana nk. Wewe sio mjanja wa kutosha kujua janja za hawa marafiki wa yule joka. Hata kufika hapa JF hongera maana sijui uliwezaje kua mjanja wa kufika huku kwa wajanja. Unaonekana ni mwaminifu Sana kwa mkeo...
  7. C

    Alikula kiapo akinisaliti afe, Ila bado nina mashaka

    Hicho ni kipengele,yeye anasema ndugu zake wanao ishi na mtoto Sio waaminifu,lakini bado amewaamini akawapa mtoto waishi nae,huyo analake Jambo. Hizo hela za mzazi mwenzake Kama anaona Zina umuhim saaana kwa mwanae kuliko chochote,basi ampe mtoto aishi na baba yake,laasivyo mkuu sali Sala ya...
  8. C

    Usimpige mwanamke ngumi na mateke

    Jamani muwe seriously wakati mwingine,mlete vitu vyenye uhalisia. Mke wako kajiunga vicoba ambavyo ulimkataza,ameshindwa marejesho vitu ndani vimesombwa utawaza hayo mambo ya chumbani eti umuadhibu huko? Au kafanya uzembe umepata loss ya mamilion,ama kamtukana mama yako mzazi,utawaza hayo...
  9. C

    Ukitaka kutafuna mbususu za wamama nenda kwenye vilabu vya pombe za kienyeji

    Huko kwa wazee wanuka ukurutu,vijana mnakwama wapii,yaani mmekua skrepa kiasi hiki,so sad.
  10. C

    Nina mashaka huyu mtoto si wangu, ushauri wako wa muhimu mwana MMU!

    Ulishobokea mimba isiyo yako,unalazimisha mtoto awe wako,bint matendo yake 100% yanaonesha mtoto Sio wako,naye analijua Hilo anakuona bwg,acha nae endelea na Mishe zako,kosa ulilifany skuile ulipo mwambia boss wake kua inawezekn mimba ni yako ilhal hukutajwa[emoji23][emoji23] umenichekesha,amka...
  11. C

    Wema wangu ulivyoniletea kejeli na fedheha kutoka kwa mama mkwe uchwara

    Sema kipengele Cha (mistake) Kila nilipokua nasoma nkikifikia nlikua natabasamu,umenichekesha Sana mkuu. By the way. Kosa huwa tunatenda Mara moja,kaza udondoshe mjengo wa maana itakua kisasi Bora Zaid kwake,achana na ivyo unavyo mdai,chukulia ulidondosha au kuibiwa maisha yaendelee
  12. C

    Natafuta mafundi Alminium

    Wanapatkan wap mkuu
  13. C

    Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

    Mkuu nakua kazn nkitoka ni mazoezin,baada ya mazoez nakua nimechoka hata huo mda wa kuongea na madem kweny Sim night naukosa. Nje ya Hilo nimejipangia malengo ya mda mfupi na mrefu ya kutimiza yanayo hitaji fedha,hivyo tamaa zikinijia Ninapo kumbuka malengo yangu,naona kutaka sex kutakula hela...
  14. C

    Natafuta mafundi Alminium

    Wakuu habari, Nina shida na milango ya Aina hii, Frameless vipimo vya mlango wangu UREFU Ft 7.7 Upana Ft 7.9 naomba kujua na Bei kwa wahusika, DSM.
Back
Top Bottom