Hatuwezi kuachia kila kitu kwa hiyo unayoiita serikali, serikali ni mimi na wewe na jukumu letu ni kuwakumbusha viongozi ili wafanyie kazi maswala kama haya wajibu wetu kama watanzania ni kuongea na hao wenye mamlaka kuwaeleza yanayotekea nadhani utakuwa mwanzo mzuri wa wao kuchukua hatua
Nakubalina na wewe on my own view sioni faida ya muungano bora uvunjwe tuanze mchakato upya. Zanzibar they are so proud of themselves kwamba hawaitegemei bara but the reality remain there. Shame on the leadership
Sent from my iPad using JamiiForums app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.