Recent content by Claranito

  1. C

    Kiwanja kinauzwa Kimara Bunyokwa

    Kiwanja kinauzwa, kina ukubwa wa 57 kwa 50 mahali Kimara Bonyokwa. Kwa taarifa zaidi wasiliana kwa namba hizi 0759908305/0716264007
  2. C

    Kiwanja kinauzwa

    Kiwanja kinauzwa, ukubwa ni 57 kwa 50, kama unahitaji wasiliana kwa namba hizi kwa taarifa zaidi 0759908305/0716264007
  3. C

    Training kwa wafanyakazi

    Asante, wana ofisi dar pia? Ofisi zetu zipo dar
  4. C

    Training kwa wafanyakazi

    Habarini wadau! Natafuta kampuni inayofanya training mbalimbali kwa wafanyakazi. Tafadhali nipm mawasiliano yenu. Asanteni.
  5. C

    Msaada wa sheria ya Code of Good Practice

    Habari mkuu! Naomba unisaidie hiyo sheria ya English version naihitaji sana mkuu nitashukuru sana ukinisaidia
  6. C

    Malipo ya usafiri baada ya kuvunjwa mkataba

    Moja ya malipo ambayo mfanyakazi analipwa pale mkataba wa kazi unapovunjwa ni usafiri kumrudisha mfanyakazi eneo alipoajiriwa. Swali langu ni je malipo hayo mwajiri atatakiwa kulipa hata kama mfanyakazi ameacha kazi mwenyewe?
  7. C

    Naomba msaada wa Jinsi ya kukata kuku hatua kwa hatua

    Habarini wana jamvi! Binafsi napata tabu sana kumkata kuku vipande vipande, nikimkata nakata hovyo hovyo tu, naomba kuelekezwa jinsi ya kukata vizuri hatua kwa hatua. Asanteni.
  8. C

    Natafuta software ya Human resource information system

    Mkikuu nipo Dar! namaanisha HR softwares
  9. C

    Ununuzi wa Hisa

    UTT ni nini hiyo mkuu?
  10. C

    Wadada

    ooh ngoja nimcheki
  11. C

    Wanawake acheni kelele zisizo na ulazima wowote

    Haha haa! haihuuu kabisaa..
  12. C

    Wanawake acheni kelele zisizo na ulazima wowote

    Wanaume pia wapo wapigaji kelele tena ukiwasikia ni worse! Yupo mmoja jirani yangu hapa akianza hatulali ukijumlisha na za girlfriend wake tabu tupu.
  13. C

    Wadada

    Habari zenu wadada! Utanashati unahusika hivyo naomba kujua ni sehemu gani au duka gani ambalo unaweza pata jeans nzuri na mavazi ya kiofisi. Asanteni.
  14. C

    Hivi kuna sheria inayomruhusu mwanaume kumshtaki mwanamke kwa kosa la kumbaka/raping?

    Haaa haaa haaa!!!! Inawezekana kweli???? Mwanaume anawezaje kubakwa?
Back
Top Bottom