Naona siku hizi magari ya Toyota aqua hybrid na PRIUS zinaanza kuwa nyingi kama IST hivi. Kila nikipita naziona tu. Nadhani navyo vitaanza kupanda bei soon
Habari wataalamu wa Magari humu ndani.
Hivi karibuni nimetaka kufanya utafiti wa kutumia gari ya Toyota aqua Hybrid kwa ajili ya Bolt, Nafanya part time tu.
kwa siku kama 10 nimepata mapato kama hayo hapa sijaweka gharama za service. Mwenye uzoefu wa kutumia gari ya Gesi na mafuta, kama...
Kuna kipindi ilikuwa hivyo ila ilikuwa ike TRA calculator ya zamani. Siku hizi naona wamebadilisha mfumo unavyoonekana ndio nikawa nashangaa.
Kipindi fulani ilikuwa ukiagiza gari gharama za kodi ni sawa jumala na bei ya Gari kufika Dar
Okay Labda ni kwa baadhi ya Gari. Nilikuwa naangalia hizi Gari ndogo ndio naona kama Kodi imeshuka. Kama hii gari bei yake ni 15M ila kodi yake ni kama 8.xxM tofauti na mwanzo kodi ingekuwa 15M pia
Used Toyota Premio 2005 (128,000 km) - TCV (formerly Trade Car View)
Wataalamu naomba kuuliza kwani gharama za Kodi kwsnye kuagiza Gari zimeshuka au. Maana nimezoeaga kuona ghadama za kodi ni sawa sawa na Bei ya Gari kuagizia. Ila sahizi naona ni tofauti iko Chini
Kodi zimeshuka?
Okay vizuri ukaenda na Mtaalamu, Mimi binafsi nimenunua mara ya kwanza 2020 Mpaka leo nikyemuuzia bado anayo. Haikunisumbua
Ukitaka kuagiza hapa anzia 16M kuendelea, nahisi inaweza panda kulingana na Dola inavyoenda
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.