Recent content by cj2000

  1. C

    KERO Taarifa Binafsi: Kampuni ya Mikopo inayojiita Credit Land imenifanyia udhalilishaji

    Wakishamsdhalilisha hivyo ndiyo wanapate PESA yao? Kwanini wasimshitaki ?
  2. C

    Mikopo ya Mtandaoni

    Nashauri Aachane nazo Kwa sababu tatu: 1. Hawatunzi privacy yako. Wanaweza kuwasiliana na watu wako na kukudhalilisha kwao bila kujali chochote endapo ukachelewa kuwalipa au wakakupigia simu hujapokea au hupatikani na wakati wanakutafuta hata kama muda wa Mkopo hujaisha. 2.Riba yao Ni kubwa...
  3. C

    Swali kwa wataalam wa sheria za mitandaoni

    Kulipa ni sawa lakini... Kwenye vigezo na masharti wanayotoa hakuna sehemu inayoonyesha kuwa wataanza kuwasiliana na watu wa mteja wao kiholela Tu na kumdhalilisha. Hii haipo sawa,kama mtu amekataa kulipa kwanini wasimkamate wampeleke mahakamani awalipe? Kupigia watu simu,kuwadai, na kuwatishia...
Back
Top Bottom