Recent content by Cizokalugwagu

  1. C

    JamiiForums Tanzania hivi bord ya mikopo inataka wanachuo waandamane kwanza ndio watoe boom?

    :-[:-DNjaa njaaa njaaaaa! Kuweni na utu basi enyi HESLB. (:-x*Hasira*¤¿)
  2. C

    JamiiForums Tanzania Chritopher Ole Sendeka, alijikuta akilia hadharani akitetea upigaji kura ya wazi

    Siku zote PM huyu huongozwa na hisia badala ya uhalisia! Kazi ipo.
  3. C

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Darasa la 2 kufanya Mtihani wa Taifa

    Sera mbovu na mipango ya kitoto ndivyo vyanzo vya uozo wa mambo mengi hapa kwetu Tanzania! Hivi kweli unaacha kushughulikia mizizi ya tatizo unadili na vijitawi vya tatizo?? WHAT A SHAME! Kama mitihani ndo inayofundisha haya twendeni.
  4. C

    JamiiForums Tanzania idadi ya wanafunzi mwaka wa kwanza watakaopata mkopo

    Macho na masikio yangu kwenye hii rot system!
  5. C

    JamiiForums Tanzania Sauti sauti sauti, jamani tuliochaguliwa st.augustine tunafungua tarehe 9/9/2013

    Tarehe ya kuripoti Saint Augustine kwa 1st year ni kuanzia tar 18/9 na si vinginevyo. Kitabu kushika hatamu kuanzia tar 24/9, hii ni kwa SAUT Main Campus hapa Ng'wanza!
  6. C

    JamiiForums Tanzania Nacte tutoeni kimasomaso

    Jamani muwe na subira japo kusubiri nako ni bonge la mtihani!
  7. C

    JamiiForums Tanzania Nipozeni moyo ndugu zangu wa saut!

    Nashukuru sana ndg Phillip Donie.
  8. C

    JamiiForums Tanzania Nipozeni moyo ndugu zangu wa saut!

    Naomba mnitazamie jina langu kwani niliomba SAUT. Jina: AIDAN ELIEZA, BaEd. Nawasilisha kwa unyenyekevu wote.
  9. C

    JamiiForums Tanzania Wale wa SAUT jitazameni hapa

    Jamani msaada wadau! Mr Stake holder na wengine, Naomba mnitazamie na mimi jina langu AIDAN ELIEZA. (Baed)
  10. C

    JamiiForums Tanzania SAUT - Bukoba centre

    Kwani tayari na hapa?
  11. C

    JamiiForums Tanzania Ni uduni na ufinyu wa mawazo kuvibeza vyuo vikuu vingine kwa misingi ya ubora usio wa kimantiki!

    Katika kila orodha kuna wa kwanza na wa mwisho, ndio maana kuna kitu hii 'RANKING'.
  12. C

    JamiiForums Tanzania University of Arusha

    Jiandae kupiga root nyingi za kwenye vipindi vya dini ya kisabato kama umechaguliwa hapo! Masuala ya power hour, uamsho na usabato kwa ujumla yamejaa utadhani ni chuo cha theology completely, ada nayo si haba 1,800,000/= tuition fees tu bado mambo mengine. Hapo ni maumivu kwa kwenda mbele...
  13. C

    JamiiForums Tanzania waomba mikopo heslb 2013/2014 wote watapata kwa asilimia mia.

    Heading na content ziko tofauti!
Back
Top Bottom