Recent content by ciwajiza2

  1. ciwajiza2

    Tundu Lissu: Kitendo cha Lowassa kwenda Ikulu si cha kuhalalishwa au kunyamaziwa kwa hoja nyepesi nyepesi

    Mi naamini alilazimishwa kusema hayo aliyosema na akiita press atanyoosha kitaeleweka tu.....Ni michezo inachezwa kuua upinzani lkn haitakuja kusaidia
  2. ciwajiza2

    Kiherehere cha Mtangazaji na Mchekeshaji huyu ndiyo chanzo cha Mama Mndeme kuhamishwa Mkoa

    Nataman kujua mkuu wa mkoa alietolewa dodoma kapelekwa wapi wakuu
  3. ciwajiza2

    Makampuni 18 ya Kijerumani yatafuta fursa za uwekezaji Jijini Dar es Salaam

    Amewaeleza pia umeme wetu ni washidashida? Na wasiojulikana pia wako kibao waje na magari bullet proof
  4. ciwajiza2

    ‪Tusikubali udhalilishaji wa Jarida la The Economist, lamwita Rais wetu "Dinasauria wa Dodoma” na "bullheaded socialist"

    Afanye tu vitu vionekane na wala haina haja ya kuwaambia watu eti leo kafanya lile wala kesho nafanya bile wala hata akimtumbua mtu haina haja kujinadi ye apige kazi matendo yananguvu kuliko porojo hatujali kuwa ye ni dikteta wala ubongo mdogo si tunataka matokeo chanya tu
  5. ciwajiza2

    Nyumba inapangishwa, 120,000

    Usafiri unafika kwa urahisi na toa namba ya simu
  6. ciwajiza2

    Jaji Mkuu: Tusijifananishe na Kenya, Mahakama zetu zipo huru zaidi

    Ipo siku yao inakuja watajuta kutetea uozo mungu wanaemzihaki atawaonyesha kuwa yeye ndie muumba wa kila kitu
  7. ciwajiza2

    Wasomi wahoji uzalendo wa Lissu

    Mi sizani km hao maprofesa kama wameongea kweli hayo.Na kama wamenena hayo wachunguzwe vyeti vyao Waelewe kwamba mwenendo uko hivi Lissu amekuwa toka mwanzo hatua za kijinga jinga zimazochukuliwa na serikali si sahihi lkn watu na viongozi wao hawafikilii wamamuona punguani sasa wameanza kufanya...
  8. ciwajiza2

    Mine site ya Acacia kuhusu makinikia ilikuwa ni advantage tosha kwa serikali

    Tulipofanya sherehe kubwa ya report ya makanikia ilikuwa ya uwazi leo imekuwa mambo yanafanyika kisirisiri? Haya time will tell Sent using Jamii Forums mobile app
  9. ciwajiza2

    ‘’Swaga’’ za TLS, eti mawakili zaidi ya 18 kumtetea Tundu Lissu!

    Eti hadhalani anasema watu walikuwa wanalipwa mpaka milioni 40 amezikata na kupunguza sana anaona ni ujuaji baada ajisifie kuwaongeza mshahara walio na mishahara midogo ye analeta wivu tu, hao watu ni professional bwana wanaweza kwenda kokote wakafanya kazi wakakuachia nchi yako vilevile ukabaki...
  10. ciwajiza2

    ‘’Swaga’’ za TLS, eti mawakili zaidi ya 18 kumtetea Tundu Lissu!

    Sawa si kwa uelewa wako mdogo ni sawa...na ulinzi ukiwa mkubwa kwa raisi yoyote duniani maanake hofu kubwa sana kwa raisi na dalili kuwa raisi hakubariki si ndio? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. ciwajiza2

    ‘’Swaga’’ za TLS, eti mawakili zaidi ya 18 kumtetea Tundu Lissu!

    Chuki gani mlopokaji tu Sent using Jamii Forums mobile app
  12. ciwajiza2

    ‘’Swaga’’ za TLS, eti mawakili zaidi ya 18 kumtetea Tundu Lissu!

    Unafuata mkumbo tu hujui kitu we unajua hata maana ya uwakili kweli? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. ciwajiza2

    ‘’Swaga’’ za TLS, eti mawakili zaidi ya 18 kumtetea Tundu Lissu!

    Tena mwambie hiyo taaluma ni noma aliwahi kuona kuna mwanasheria anahangaika barabarani kutafuta kazi? Mwambie hiyo ni taaluma nyeti! Eti mwingine anasema wawe noted wasipewe ujaji utataka ujaji kwa jpm labda uwe huna akili...jua wasingekuwa wanajihuzuru na anaonekana ana mawazo kuwa jpm atadumu...
  14. ciwajiza2

    KISUTU, DAR: Tundu Lissu afikishwa Mahakamani Kisutu, akosa dhamana

    Wanataka nao wapigwe picha waonekane....wanauza sura...utasikia mtaani mi ndio nilipewa jukumu la kumlinda Lisu Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom