Recent content by civil issues

  1. C

    AutoCAD

    kwa kifupi ni software application inayotumika kudraft models katika 2D au 3D kwa kutumia computer. unaweza kudraft nyumba au kufanya mpangilio wa kitu chochote ukipendacho
  2. C

    Ramani, ujenzi issues special thread

    Habari zenu wanajukwaa(great thinkers), Mimi ni mwanafunzi wa idara ya uhandisi ujenzi(civil engineering), nikishirikiana na wanafunzi wenzangu tungependa kuwasaidia watanzania wenzetu kuhusiana na masuala ya ujenzi. Huduma ambazo tunazitoa ni za ujenzi wa nyumba za chini(sio maghorofa)...
Back
Top Bottom