Kwa mtazamo wangu concept yake ilikuwa inalenga ni kwa namna gani viongozi wabinafsi, wanajiongezea wao mishahara ili hali watumishi wa umma kama walimu, madoctor, askari n.k kilio chao cha muda mrefu hakifanyiwi kazi
Kwa mtazamo wangu, cha kwanza mfumo wa elimu wa sasa hauendani na mfumo wa maisha uliopo sababu ni "theory based" na hauwezeshi kupata skills ambazo zinaweza kuendana na mahitaji ya soko la ajira kwasasa.
Kwa upande mwingine suala la "Nepotism" limekithiri sana, imefika hatua hata kupata sehemu...
Kiuhalisia swala la Ajira bado ni changamoto kwa nchi, tunashauriwa tujiajiri ni good point but mtaji unautolea wapi? ukitazama wazazi wameuza karibia assets zote ili uweze kusoma, ukitaka kwenda kukopa bank au kausha damu dhamana ya mkopo changamoto!
Sisi kama graduates tunajitahidi sana...
Habari Watanzania wenzangu!
Wakubwa Poleni na majukumu, kijana wenu nimekuja kupitia forum hii kujaribu kutafuta fursa ya kazi au intern ambayo itanisaidia angalau nisikae vijiweni na kuzurura mtaani!
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25, nimehitimu Shahada ya Uchumi mwaka 2021, naishi Dar...
Education
[emoji830]︎ Bachelor of Science in Economics
Experience
[emoji830]︎ Field Practical - 6 months
[emoji830]︎ Sales Representative - 18 months
Skills
[emoji830]︎ Communication skills and Customer care
[emoji830]︎ Computer literate in Microsoft Office Applications
[emoji830]︎ Research...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.