Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977 na marekebisho yake inamruhusu Sa 100 kugombea na kuwa rais Kwa msimu mmoja wa miaka 5,hivyo 2025 ni ruksa kugombea.
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Inaonekana Kongolo kayaanzia ukubwani na kwakuwa hakuyazoea ndo amevurugwa kabisa.Hivi hilo bolo bolo bolo halikuwa na Sweta aka Govinda?
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Nilivyofika Nyuki Tegeta kisha nikalipia kwenda kukojoa nilistuka sana.Choo Cha kwanza niliingia nikatoka maana nilikuta mzigo unanichungulia .
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.