Recent content by chwechwe

  1. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta control box ya 1NZ toyota auris

    Nenda Jackumemetz.. (Instagram) 0719 749 535,Duka lipo karibu na shule ya Alrahmain, Karume, ILALA,Dar Es Salaam. Jina la Duka ni Jack Umeme
  2. C

    JamiiForums Tanzania Karamagi adaiwa kudandia wake za vigogo

    Duh hatare
  3. C

    JamiiForums Tanzania Tanzania tuna mahandaki (tunnel) na ving'ora kwaajili ya kujikinga endapo tutashambuliwa kwa njia ya anga?

    Mahandaki yapo kwa Dar es Salaam ni ..Ilala Boma,Selander Bridge na maeneo mengine.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Huyu fundi simu anakagua simu za wateja akimaliza kutengeneza

    ikiwezekana weka app ya Who Touch my Phone (WTMP)..utamuona aliyeangalia simu yako bila ruhusa.
  5. C

    JamiiForums Tanzania BMW X1 imejilock haikubali ku-respond chochote

    Mpigie simu fundi umeme wa gari,0718239703.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Muogopeni Rostam Aziz kama Corona. Spin Doctors kazini 100%

    Rostam anaanza uzalishaji wa Mitungi ya Gesi kiwanda kipo maeneo ya Kibaha.
  7. C

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz: Dkt. Slaa alihongwa 2015 kuisaliti CHADEMA, akapewa Ubalozi

    Ni Kweli... connect dots za Taifa Gas.
  8. C

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz: Dkt. Slaa alihongwa 2015 kuisaliti CHADEMA, akapewa Ubalozi

    Rostam ni Mtanzania,ila ana asili ya Iran.
  9. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini mwanamke wa Kiislam kuwa Rais ni kukiuka nguzo za Uislamu?

    Hapana,soma uzi toka mwanzo utaelewa. Sababu sio kuuza nchi zipo sababu nyingine zimeainishwa kwenye uzi.
  10. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini mwanamke wa Kiislam kuwa Rais ni kukiuka nguzo za Uislamu?

    Panahitajika maelezo ya kina.
Back
Top Bottom