Recent content by churi r

  1. C

    JamiiForums Tanzania Lissu, Bulaya, Zitto, Pauline, Lema na Mdee wasimamishwa kuhudhuria vikao vya Bunge

    Wabunge hawa walisimamishwa huwa wachangi mambo muhimu kwa taifa letu hoja zao no zamsngi kuhusu TBC kwa mana haja za maendeleo ya wananchi sio kuwasimisha nihoja kupatiwa majibu sio vinginsvyo vinginevyo nikuzima hoja zinawo wagusa wananchi na kupunguza maswali yayoibana serikali wananchi...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Natabiri Zitto Zuberi Kabwe kuwa Waziri wa Magufuli

    Tundu lisu kiboko hapokei rushwa apewe mambo ya katiba utaona
  3. C

    JamiiForums Tanzania Lukuvi: Tunakuja na bei elekezi kwa viwanja

    Taratibu zizingatiwa hilo ndio jambo lamsingi
  4. C

    JamiiForums Tanzania Makonda Aongoza Viongozi wa Serikali Kuhani Msiba wa W. Kabwe, atoa hotuba

    Ndugu zangu tutafautishe kazi na kifo hivo kazi ibaki kuwa kazi kifo sehemu nyingine
  5. C

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Zanzibar Mpendwa Rais Amekosea

    Mie ningeshauri uchaguzi usimamiwe na tume ingine cuf. Hawana imani na tume hii ni vizuri maridhiano yakafanyika bio ndio njia nzuri itakayo jenga UMOJA
  6. C

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli alakiwa Arusha, akiwa ndani ya nguo za Kijeshi

    Sijaona kwenye kombati mabagani huwa kkuna nyota cheo cha Amri jeshi mkuu kimemezidi cha mkuu wa majeshi
  7. C

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli alakiwa Arusha, akiwa ndani ya nguo za Kijeshi

    Weka picha
  8. C

    JamiiForums Tanzania Jiji la Arusha chini ya CHADEMA lafanya maajabu

    Maendeleo hayana itikadi ni mipango tu na usimamiaji ambayo yataleta tija kwa taifa hicho ndio wanainchi wanachohitaji
  9. C

    JamiiForums Tanzania UVCCM Zanzibar wapingana na tamko la CCM Taifa kuomba radhi kuhusu mabango ya ubaguzi

    Mungu hafichwi kitu ajua kila kitu kinachofanywa hakuna siri hats wanadam wafahamu haramu ni haramu hawerizi kuwa halali mbele ya Mungu adhabu yake itawakuta wote wanahusika na dhuluma tumuombe Sana Mungu ashughulike na wanaokula haki za mamuzi ya wanainchi yeye hadanganywi wala hapewi rushwa
  10. C

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amfukuza kazi katibu tawala wa mkoa wa Mwanza

    Kila mfanyakazi anatakiwa kuheshimu sheria za KAZI vinginevyo hatutafika tuendako kila MTU bosi hatari na wengine wamekuwa miungu watu hi I mbaya
  11. C

    JamiiForums Tanzania CCM yasikitishwa, yaomba radhi kwa Bango lenye ujumbe wa Uchochezi Zanzibar

    Ungwana ni kuomba radhi na iwe ya kweli sio kuhadaa wanainchi
  12. C

    JamiiForums Tanzania Swali chokozi: Jecha asimamie tena uchaguzi Zanzibar?

    Kwanza niombe wazanzibari wamuombe Mungu kwa dua ili Mungu ahukumu wote wanaoshiriki kuvuruga a mani ya zanzibari na wale wasie penda haki sauti ya watu ni sauti ya Mungu
  13. C

    JamiiForums Tanzania Rais wetu Magufuli, mbona kasi ya kutumbua majipu inakufa kwa kasi kubwa?

    Maendeleo hayanaitikadi chapa kazi baba usitishwe na mtu
  14. C

    JamiiForums Tanzania Rais wetu Magufuli, mbona kasi ya kutumbua majipu inakufa kwa kasi kubwa?

    Majipu kila kona inchi ilishahabika kabisa fumua mfumo wote weka upya ikibidi undaserikali ya kitaifa hueñda ikasaidis
  15. C

    JamiiForums Tanzania Nape amjibu Lissu: Kama CHADEMA mnachukia ufisadi, mfukuzeni Lowassa

    Ukosefu wa hekima
Back
Top Bottom