Hakuna anayemdaganya hapa, na hapa hatumwangalii dada tunayemwagalia ni mtoto asiye na hatia hilo ni kosa lililofanywa na watu wawili wazima, suala la wao kutorudiana ama wasirudiane ama wawe maadui watajuana wenyewe muhimu mtoto apate huduma basi.
Na hilo haihusiani na jamaa kutomtaka binti...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bora nikucheke tu mana hujui ulisemalo 'na inaonekana na ww ni mmoja wa wasio tunza watoto, nikiendelea kubishana na ww nitakuwa mjinga zaidi. Bora endelea kuamini hivyo hivyo siku piga mimba kwa dada anayejielewa akushughulikie kisheria ndio utakuja kumwaga...
Hakuna sehemu nimesema atapata laki tano lakini haki ya mtoto itapatikana 'na matumizi jamaa atatoa sio hiyo ishirini yako unayosema atapata kuligana na tumizi la mtoto anavyotumia kama ni laki mbili basi hiyo hiyo atapewa. Elf 20 Iwe hela ya matumizi wao ni wajinga kwani mtu anafanya kazi atoe...
Hakuna anayependa kumfikisha mzazi mwenzie ustawi ama mahakamani ila inapobidi no way out mnafikishana tu, Tena Huyo 'na kazi anayo mbona ni simple sana kumfanya ahudumie mwanae, narudia kukwambia ungekuwa unajiweza ningekwambia Lea mwenyewe ila kwa Sasa huna uwezo anayeumia ni mtoto hapo wala...
Nyie ndo mnapotosha watu na vitu msivovijua eti matumizi elfu 20. Akishaitwa mama ataandika gharama anazotumia kwa mtoto ndio hizo atatakiwa alipe Tena Huyo mfanyakazi hana usumbufu wakishindwana ustawi wataenda mahakamani huko ukiwa mbishi kwa mtu anayefanya kazi mahakama ina uwezo wa kudemand...
So saad kila wamama wengi humu tunatoa mfano wa Diamond, swali ni je watoto wote waliokataliwa huwa kama diamond, tuache maisha ya kuigiza and face the reality mi sioni shida Dada Huyu akijaribu kupigania haki yake kwani wanaosaidiwa na ustawi wa Jamii wao wako je? After all hana kazi...
Naomba nikushauri kuligana na experience yangu, wengi humu wanakwambia achana 'na baba watoto wako upambane mwenyewe. Kwa hali ya Sasa ajira zilivyogumu, biashara haziendi na una mtoto mdogo usiwachukulie hawa serious hata kidogo, ingekuwa kupambana ni kirahisi hivyo kila mtu angekuwa na...
Ur not serious yaan kabixa hili umeona ndio suluhisho la watu wanaolalamika hawana mtaji? So nikae miaka mitano natafuta mtaji kwa kuwekeza 1000 mpaka miaka mitano ndio nipate 3mil ya mtaji? MI nadhani ungesema hii ni njia ya kuwekeza kuliko kuona kama suluhisho la mtaji
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.