Recent content by chunky

  1. C

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete, JamiiForums ukiitumia vizuri, itakusaudi kuongoza nchi

    He is aware but he don't give a s*****. Anatuambia mpime afya hata muhimbili wanapima dume tezi yeye kilichompeleka USA ni nn? Kwa nn asifanye operation muhimbili? Anatuambia tujenge maabara yeye na jamaa zake wanagawana pesa za umma, wanatuambia majina yaliyowekewa pesa za account ya escrow...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Form four waliochaguliwa kujiunga na diploma ya ualimu

    Naomba msaada wenu link yenye matokeo hayo
  3. C

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wenu kuhusu post za ualimu

    Yeah yametoka kweli, lakini cha kushangaza hata wenye division II wameachwa!!!!!!!!!! Anyway even those selected some are already pursuing their high school studies country wide and will not bother bout that.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wenu kuhusu post za ualimu

    Majibu hayajatoka umengangania wapi???? Wacha kumzingua mwenzako
  5. C

    JamiiForums Tanzania Wanaume wanataka nini?

    REALITY hapo umenena.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Kujitunza kwangu na kuwa mwaminifu kumeniponza

    Wacha urongo ww huyo chalii si mwenda wazimu akusingizie tu, wacha uma....**** Kweli na kaa na chalii yako wacha kukimbilia jamii forum kueleza upuuzi
  7. C

    JamiiForums Tanzania Mvua hii

    Jana nimefika home around saa 6, eti tena leo alfajir nijihimu kukazi!!!!!!! Kweli kazi naipenda ila leo watanisamehe bure............. Sema hapa napo mmmmmmmh single!!!!!!!!!! Mrindembwe jaman ajitolee :cool:
Back
Top Bottom