Recent content by CHUNDABADI

  1. CHUNDABADI

    Autocom Japan Inc- Niulize chochote kuhusu used car from Japan

    Landcruiser wagon ya bei rahisi
  2. CHUNDABADI

    Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

    Ametumia utaratibu upi, mpaka amepona Kuna mwenzangu anatatizo Hilo pia.Tushahudhuria sana hospitali lkn tatzo bado lipo
  3. CHUNDABADI

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Epukeni huyu Tapeli Jamani waalimu wenzangu anatumia namba hii 0693178826.Anajifanya anaweza kukuconect na watu wa Tamisemi kumbe lengo akupige Hela.Uhamisho wa Uhakika na Salama ni wakubadilishana.
  4. CHUNDABADI

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo ulanga -Mahenge nije hapo ulipo,, Elimu sekondari,, Iwe Mbeya, Ifakara, Iringa, Tanga, Arusha, 0787914799
  5. CHUNDABADI

    Shoga maarufu mjini Dar apania kumpokonya Jux kutoka kwa Vanessa Mdee

    Adhabu ya kifo kwa mijitu kama hii,,haiepukiki.
  6. CHUNDABADI

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Moro- mahenge/ulanga nije Tanga sehemu yeyote,,kilimanjaro sehemu yeyote,,Arusha sehemu yeyote,,Iringa sehemu yeyote,,mbeya sehemu yeyote.Idara sekondari. 0787914799
  7. CHUNDABADI

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Halord M.Lunyungu nipo wilaya ya ulanga mahenge Morogoro hapa,,njoo mie nije hapo katika maeneo haya,,Njombe sehemu yeyote,,Songea sehem yeyote,,Rukwa mjini,,Iringa sehemu yeyote,,mbeya sehemu yeyote. Tanga sehemu yeyote.Idara elimu sekondari.0787914799.
  8. CHUNDABADI

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Mwenye samsung inch 32 mpya katika box,, ani pm namba zake fasta bajet yangu n laki 5,
  9. CHUNDABADI

    Smartphone za bei rahisi unazoweza kununua

    umeinunua lin mkuu,,na tatzo lake n nn hasa mzee kuwa waz kidogo
  10. CHUNDABADI

    Smartphone za bei rahisi unazoweza kununua

    Wakubwa naombaa mnijulishe smart phone HTC brand Gani Ni kali kwa kiwango hiki cha Sh.350000/=
  11. CHUNDABADI

    Naomba msaada wa kupata stock ROM ya HTC sensation Z 710A

    Naomba msaada,,nina kiasi cha shiling 350000/=,,HTC Smartphone brand gani inaweza kuwa nzuri hasa,,nami nikaipata nikaifurahia.
Back
Top Bottom