Cubu,kira nyumba moja ya pili kuna doctar bingwa.
Ishu unaumwa nini.So!uwendako ni kule ambako kuna mabingwa wa ugonjwa huo.ni ngumu kupata jibu sahihi.
Wenda ikawa kweli,maana toka nimeaza maiaha ya kujitegeme naweka waleti ktk mfuko wa nyuma wa jeans,sometimes nahisi kario limebonyea.sasa DAWA YAKE NN?
Tuweke waleti katika mfuko wa rambo na kushika mkoni?
Mana ninyi wasomi kira kukicha mnagundua madhara tu.
Tuanze kwa kumshukuru m/mng kwa kutupatia pumzi cku hii ya leo.Wapo wenzetu,wanao pigania uhai wao maospitarini,wapo walio tanguria mbele za khaki.Rakini yote ni mipango yake mola wetu.Turudi mada kuu.
Nawaheshimu sana wanawake,rakini katika hili hapana.Mna jua nusu ya maisha yenu ni...
Pole sana!Najua kwa sasa unamawazo Tele.kiukweli ulikosea sana,rkn hakuna budi kwani maji yakisha mwagika hayazoleki.chakufanya
Mtafute mtu wa makamo,mwenye heshima zake,na umuambie mwanzo mwisho wa mkasa huu.naimani kupitia busara za mzee huyo utapata msamaha.pole
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.