Hassan Ngoma: Mwambieni Mange Kimambi wenu nina 'free pass' ya kuingia Ikulu akitaka nitampeleka

Akizungumza katika kipindi chao cha 360cloudstv mtangazaji Hassan Ngoma amewashangaa sana wale Watanzania ambao hujifanya kumsema vibaya Rais Dr. Magufuli wakiwa mbali lakini siku wakikutana nae katika hafla mbalimbali huwa wanabaki tu kutetemeka na kubabaika.

Mtangazaji huyo katika hali inayoonyesha wazi kuwa maelezo yake haya yalikuwa yakimlenga hasa mwanaharakati Mange Kimambi na Viongozi wa juu wa Chama cha CHADEMA amesema kwamba kama kuna Mtu yoyote anapenda kuonana ana kwa ana na Mheshimiwa Rais Dr. Magufuli basi aonane nae yeye ( Hassan Ngoma ) ili ampeleke kwani kwa sasa ana free pass ya kuingia Ikulu wakati wowote ule anapojisikia.

This guy is full of himself...

Halafu ni very funny ameongeza high gear baada ya jiwe kumpa ndugu yake 100mil..It shows how poor minded this guy is.

Nduguyo anapewa 100mil then unabadilika tabia wewe wakati aliepewa katulia zake home anazila!

This guy is a b1tch indeed!

Anapangusa sana,kuna siku atashika mavi haswa!
 
Akizungumza katika kipindi chao cha 360cloudstv mtangazaji Hassan Ngoma amewashangaa sana wale Watanzania ambao hujifanya kumsema vibaya Rais Dr. Magufuli wakiwa mbali lakini siku wakikutana nae katika hafla mbalimbali huwa wanabaki tu kutetemeka na kubabaika.

Mtangazaji huyo katika hali inayoonyesha wazi kuwa maelezo yake haya yalikuwa yakimlenga hasa mwanaharakati Mange Kimambi na Viongozi wa juu wa Chama cha CHADEMA amesema kwamba kama kuna Mtu yoyote anapenda kuonana ana kwa ana na Mheshimiwa Rais Dr. Magufuli basi aonane nae yeye ( Hassan Ngoma ) ili ampeleke kwani kwa sasa ana free pass ya kuingia Ikulu wakati wowote ule anapojisikia.
Duh masikini akipata makalio hulia mbataaa!
 
Sidhani kama hizo million 100 wamepewa itabidi kwanza apige promo ndio wapewe hizo fedha....

Ndio maana sasa hivi jamaa anatumia nguvu nyingi sana kutuaminisha mkuu ni msafi wakati ni mchafu kama kitimoto....
Hapo kwenye kitimoto ndo umeharibu bora ungesema bata
 
Akizungumza katika kipindi chao cha 360cloudstv mtangazaji Hassan Ngoma amewashangaa sana wale Watanzania ambao hujifanya kumsema vibaya Rais Dr. Magufuli wakiwa mbali lakini siku wakikutana nae katika hafla mbalimbali huwa wanabaki tu kutetemeka na kubabaika.

Mtangazaji huyo katika hali inayoonyesha wazi kuwa maelezo yake haya yalikuwa yakimlenga hasa mwanaharakati Mange Kimambi na Viongozi wa juu wa Chama cha CHADEMA amesema kwamba kama kuna Mtu yoyote anapenda kuonana ana kwa ana na Mheshimiwa Rais Dr. Magufuli basi aonane nae yeye ( Hassan Ngoma ) ili ampeleke kwani kwa sasa ana free pass ya kuingia Ikulu wakati wowote ule anapojisikia.

Tanzania kuna tatizo kubwa sana
 
wanazungumziaga mambo yasiyofikirisha both radio/ tv clouds. nilikuwa nasikiliza sports extra tu. sasa nimehamia sports Hq nimeacha kusikiliza ujinga wao hao clouds
 
Anamlenga Msigwa baada ya kuangalia ile clip iliyohaririwa na Ikulu na kuchukua baadhi ya vipande vilivyowapendeza CCM na Ikulu kwa ujumla.
 
Dongo hilo linamuhusu Msigwa hasa kwa alichokifanya juzi kumsifia Mr president huko Iringa wakati asipokua nae anajifanya kumponda na si Mange kama anavyotaka kutuaminisha mtoa mada
 
Akizungumza katika kipindi chao cha 360cloudstv mtangazaji Hassan Ngoma amewashangaa sana wale Watanzania ambao hujifanya kumsema vibaya Rais Dr. Magufuli wakiwa mbali lakini siku wakikutana nae katika hafla mbalimbali huwa wanabaki tu kutetemeka na kubabaika.

Mtangazaji huyo katika hali inayoonyesha wazi kuwa maelezo yake haya yalikuwa yakimlenga hasa mwanaharakati Mange Kimambi na Viongozi wa juu wa Chama cha CHADEMA amesema kwamba kama kuna Mtu yoyote anapenda kuonana ana kwa ana na Mheshimiwa Rais Dr. Magufuli basi aonane nae yeye ( Hassan Ngoma ) ili ampeleke kwani kwa sasa ana free pass ya kuingia Ikulu wakati wowote ule anapojisikia.

Hivi huyu mtu kasomea uandishi wa habari au utangazaji? Yani anatembelea nyota ya baba yake mkubwa sijui...pumbavu sana.
 
Back
Top Bottom