Sasa hivi Niko na My holo love pamoja na tale of nine tailed fox nani kaziona?....
Nine tailed fox kama inaniburudisha hiv... japo my holo love pia iko poa ila kwa watu wa sci -fi ndo wata enjoy zaidi....
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Hello guys....
Nipo na...
1. Memorist
2. Hi bye mama
3. Hyena
na sijui ipi niianze maana naona zote nzuri sasa Niko dilema nina wiki sasa naziangalia tu sijui nianze ipi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nisije anza mbaya nikazichukia zote bac naogopa tu hapa[emoji23][emoji23]
Havari zenu waungwana nipo na "DOCTOR PRISONER" inanifanya nikeshe asee maana hali si hali.....
Samahani Daemusin kuacha hii waweza nipa top 5 ya best dramas za mwaka huu? Ili niendelee kuziangalia nikiisubiri "THE ETERNAL MORNACH"[emoji4][emoji4]
Habari waungwana nina miaka 23 ninatatizo la macho... siku hiz za karibuni kila nikiamka asubuhi huwa naona ukungu yaan sioni vizuri na nakuta macho yamejaa matongotongo tofauti na hapo nyuma.
Je hili ni tatizo gani na nifanyeje?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.