Recent content by Chulumeshy

  1. C

    Swali gani lilikukera ulipoulizwa na makarani wa Sensa?

    Wakati wa Sensa kuna maswali mengi sana yaliyoulizwa na Makarani wa Sensa, mengine yalifurahisha, mengine yalikasirisha, ilimradi waweze kutumiza malengo na kazi iliyowapeleka. Mfano, unatumia jiko la aina gani? Umeshawahi kutumia smartphone? Unamiliki guta...
  2. C

    Je, wajua mtembea kwa miguu anatakiwa atembee upande upi ili aweze kuepuka ajali?

    Tembea upande wa kulia wa barabara, ili uweze kuyaona vizuri na kupishana na magari yanayotoka unakoelekea na iwe pembeni sana iwezekanavyo. Upande utakaotembea itakusaidia wewe kuliona gari vizuri au vyombo vingine vya usafirikama vile pikipiki, bajaji na kuweza kukuepushia na madhara...
  3. C

    Je, kelele za Tozo za Benki zitazima mapema kama kelele za Tozo za miamala?

    Lawama na kelele zinazoendelea kuhusiana na uanzishwaji wa tozo za miamala na za kifedha sasa zimekuwa kama kelele za chura akiwa kwenye maji kwani hayamzuii tembo kuyanywa maji apatapo kiu. Lawama na malalamiko mengi yameanza mwaka 2021 baada ya serikali kuanzishwa kwa tozo mbalimbali kwa...
  4. C

    Idadi kubwa ya watoto katika familia hudumaza uchumi wa familia

    ''Penye miti mingi, hapana wanjenzi'' Kauli hii imekuwa dhahiri sana na yenye uhalisia ukizungumzia suala kuu la uchumi na maendeleo ya jamii hasa kuhusiana na idadi ya watoto na ustawi wa kila mtoto katika suala zima za elimu, afya na mahitaji mengine ya kimsingi. Tukiongelea suala la miti...
  5. C

    Manara kumbuka masikio hayazidi kichwa ona sasa unaula wachuya

    Kweli, asiyefunzwa na mamaye , hufunzwa na ulimwengu. Msemo huu umemkuta Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara baada ya kumtokea puani maneno ya hovyo aliyowahi kuyasema siku kadhaa nyuma kuonesha kwamba yeye ni mwamba na hivyo hawezi kufanywa chochote na mtu yeyote ndipo ameamuamua kumuomba...
  6. C

    Manara kumbuka masikio hayazidi kichwa, ona sasa unaula wachuya

    Kweli, asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu. Msemo huu umemkuta Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara baada ya kumtokea puani maneno ya hovyo aliyowahi kuyasema siku kadhaa nyuma kuonesha kwamba yeye ni mwamba na hivyo hawezi kufanywa chochote na mtu yeyote ndipo ameamuamua kumuomba...
  7. C

    Ifahamu Bustani yenye Mimea ya Sumu iliyopo Uingereza

    Bustani ya sumu iliyopo Alnwick huko Northumberland, Uingereza, ina zaidi ya mimea 100 yenye sumu, ya kulewesha na ya mihadarati. Na imeruhusiwa kutumiwa na umma yaani watu wote wanaruhusiwa kutembelea maeneo hayo ya bustani kwa kuzingatia taratibu na sheria za eneo hilo. Ishara kwenye lango la...
  8. C

    Kuwe na Uhuru wa Mahakama katika masuala ya Kidemokrasia

    Kama wote tutakuwa sawa chini ya sheria na hakuna hata mmoja atakayekuwa juu ya sheria hiyo ndiyo itakapokuwa nchi yenye misingi ya kisheria. Sheria inatakiwa imuhusishe kila mtu ndani yake ukiingiza na serikali ndani yake kwani serikali pia imebeba watu inaowatumikia katika kufanya kazi katika...
  9. C

    Jaji Makambara: Hakuna Sheria mbovu, kuna Sheria zilizopitwa na wakati

    madai ya wengi ni kwamba kuna sheria gandamizi ambazo zinatakiwa ziondolewe kwani zimepitwa na muda hivyo bas kuwepo na mabadiliko ya kikatiba kwa kuondoa sheria fulani hv mfano kuanzika kipind cha mchakato wa kuruhusu mfumo vya vyama vingi kuna sheria ambazo zilionekana kuwa gandamizi na mpaka...
  10. C

    Jaji Makambara: Hakuna Sheria mbovu, kuna Sheria zilizopitwa na wakati

    Maneno haya yalizungumzwa na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria akizungumzia hayo katika Mkutano wa Miaka 30 ya Demokrasia ya Vyama Vingi. Mkutano uliohudhuriwa na baadhi ya viongozi wa serikali na vyama vya kisiasa kama vile ACT, Chadema na wengine lakini Chama Tawala kilitoa Udhuru kutokana na...
  11. C

    Madereva na Makondakta wawe na kauli nzuri kwa abiria wao

    sana unaweza ukajibiwa vibaya hadi siku yako ikaharibika
  12. C

    Madereva na Makondakta wawe na kauli nzuri kwa abiria wao

    hhhhahahahahhh tatizo lipo kwa upande wote wa abiria kondakta na hata dereva wenyewe hawapendi kujishusha pale inapotokea misunderstanding baina yao.
Back
Top Bottom