Recent content by chukulu

  1. C

    JamiiForums Tanzania Ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumlawiti mgoni wake

    Punguza munkari brow sasa Chama cha Mapinduzi kinahusika nini hapo tumia akili kufikiria
  2. C

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa fedha na mpango hospitali ya Rufaa Bugando, mtawa Suzan Bathlomeo ajirusha Ghorofani na kufariki

    Aisee hukosama hiyo clip[emoji35] Sent from my GT-I9300 using JamiiForums mobile app
  3. C

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli anaiua CCM kifo cha mateso makubwa

    Ha ha unasema kama mbwa mwitu wanavyomuua swala kunyofoa minofu kipande kipande hadi kifo
  4. C

    JamiiForums Tanzania Je ni siku ya hatari kupata mimba

    Pole lea mtoto usipelekwe kwa RC makonda
  5. C

    JamiiForums Tanzania Winnie Madikizela Mandela alipokuja Dar 1990

    [emoji2] [emoji3] [emoji1] Tatizo vijana wanaovaa milegezo hawajui historia mkuu wao wanarukia makala tuu sawa na kurukia train kwa mbele nimecheka sana
  6. C

    JamiiForums Tanzania RC Makonda, kabla ya kuingilia ndoa za watu muulize kwanza Augustino Lyatonga Mrema alipoishia

    Ha ha ha ha Halafu wamejitanda ushungwi kuficha aibu zao mwanamke ni mdhaifu sana pia ni mtu asiye aminika
  7. C

    JamiiForums Tanzania Dalili za Serikali ya Rais Magufuli kuanza kupoteza mwelekeo

    Mimi bado sijakuelewa unachanganya changanya mambo kwa kifupi unarukaruka kama chura hii habara haijanyoka Ina maana hukutaka warudishwe kazini? Wewe mwenyewe ni darasa la saba kwani hii habari ulioandika hapa haina mpangilio
  8. C

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa mabasi ya Super Sami atoweka, gari lake lachomwa moto Serengeti

    Umeandika makande tuu huku sasa umekuaje kafa wakati una andika mwili haujakutwa eneo la tukio copy an pest hizi
  9. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchumba wangu hataki nishike simu yake kusoma meseji, kanikwapua simu yake na kunipigia kelele mbele za watu

    Utumbo wa mbuzi amenena
  10. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchumba wangu hataki nishike simu yake kusoma meseji, kanikwapua simu yake na kunipigia kelele mbele za watu

    Acha kumpotosha mwenzio na mistari ya biblia huku wewe unampekua mwanamke unatafuta nini sembuse aliemzaa hakuweza wewe unakuja huku kumpekua ukubwani acha uform one wewe kwanza nyie ndo mnaopigiwa kwenye duka la mpemba kwenda kununua nazi au maboss na waosha kucha saloon jipange upya
  11. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchumba wangu hataki nishike simu yake kusoma meseji, kanikwapua simu yake na kunipigia kelele mbele za watu

    Ha ha ha ha sembuse watu humu wananunulia wake zao vifuniko vya asali na bado kuna midubwana inazivua na kuendelea kula asali bila mwenye mzinga kujua sasa yeye anakuja huku na kisimu alichomnunuali mkewe cha kichina kulalama
  12. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchumba wangu hataki nishike simu yake kusoma meseji, kanikwapua simu yake na kunipigia kelele mbele za watu

    Sasa wewe ni hatari inaelekea hata unatabia za kunusa nguo zake za ndani na kukagua hayo maeneo sio fresh kukagua simu ya mkeo ni sawa na kufufua makaburi ya zamani kujua alikuwa anafanya mapenzi na nani utoto ni au kupenda kumjua Ex boy friend wake utakufa brow achana na biashara za kupekua...
  13. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Nina mahusiano na mwanamke 'msimbe'

    Maneno kuntu hayo zingatia
  14. C

    JamiiForums Tanzania Mchango wa dini katika kutetea haki za kiraia: Mohamed Said yeye ni kushutumu Wakristo

    Jumapili marudio ni saa ngapi na ni radio gani nifuatilie
Back
Top Bottom