Recent content by Chui mnyama

  1. Chui mnyama

    Walinzi wa uwanja wa Mkapa ni mzigo

  2. Chui mnyama

    PreGE2025 VIDEO: Sauti ya Tundu Lissu dakika chache kabla ya kukamatwa na Polisi

    Wewe ni famba jingine. Yaani unachekelea hao polisi kumkamata lissu??
  3. Chui mnyama

    Wakulima msipotajirika Awamu ya Rais Samia mjue hamtakuja kutengeneza pesa tena

    Hahahahaaaa!!! Siasa Buana!!!. Hebu tuacheni wakulima tupumue hiyo miradi yote ni madili ya watu
  4. Chui mnyama

    Natafuta mteja wa zao la kunde

    Moka wa lindi yaani usafiri ni gari moja tu mzigo unafika dar siku hiyohiyo. Mawasiliano 0628570117
  5. Chui mnyama

    Natafuta mteja wa zao la kunde

    Habari za muda huu wanajamii Forums. Kwanza kabisa napenda kumshukuru mwenyezi Mungu mwingi wa rehema alineyetujalia uzima. Sasa nijielekeze moja kwa moja kwenye mada yangu. Kutokana na mwaka wa Jana kuwa kulikuwa na hali Nzuri ya hewa nilifanikiwa kulima zao la kunde cha kumshukuru Mungu...
  6. Chui mnyama

    Kama unajitafuta nje ya Dar es salaam, sahau kuhusu utajiri

    Ahsante kwa kuendelea kuficha Fulsa ya moka wa lindi sisi tulioshitukia chimbo mapema tunaendelea kutajirika, tunajenga majumba Dar, mnapanga ila hamjui wamiliki tunatoa wapi pesa.[emoji23][emoji23]
  7. Chui mnyama

    DOKEZO Responded Hali ya Mafuta ya Petroli Liwale ni tete kwa zaidi ya wiki sasa

    Pikipiki sasa zinakokotwa kama baiskeli, bodaboda wahaha! Bei yapaa kwa wauzaji wa videbe. Inasemekana kuna mgomo wa wamiliki wa vituo vya mafuta. Hawaridhiki na bei ya sasa. Vipi hali ya upatikanaji wa petrol kwa upande wako huko uliko mwana jukwaa mwenzangu? Pia soma > Wilaya ya Ngara...
  8. Chui mnyama

    Kwanini Zanzibar inabembelezwa sana tokea Uhuru?

    Faida ya muungano ni kubwa sana sema haijawahi kutajwa hadharani siku nikiwa nimelewa nitawajuza nilichoking'amua kwamba kwanini zanzibar haipewi kuwa nchi huru. Lakini kwa faida yako tu kunamaswali mawili nitakupa ukijijibu tu utakuwa umepata walau ufaham. 1. Nini kilichomtoa sultan Muscat Oman...
  9. Chui mnyama

    Nauza kuku wa kienyeji mkoani Lindi

    Habarini wakuu wa JamiiForums Nimekuja katika jukwaa hili kuleta fursa yangu ya kuku. Nimefanikiwa kufuga kuku wengi sana sasa kama mnavyojua baada ya kufanikiiwa katika hatua ya kwanza sasa nataka kusafisha banda kwani kuku nilionao naona wamefikia idadi ya Malengo yangu. Kwa wale...
  10. Chui mnyama

    Kikokotoo kipya cha mafao ya wastaafu chaanza kutumika rasmi

    Tujadili maada sio madhaifu ya maada
  11. Chui mnyama

    Kikokotoo kipya cha mafao ya wastaafu chaanza kutumika rasmi

    Habari wana JamiiForums wenzangu Kwa wale mliofunga mfungo wa mwezi mtukufu salaam alaikum Leo nimekuja mbele yenu tujadili Kidogo mambo makuu mawili jambo la kwanza ni juu ya kikokotoo cha pension cha wastaafu na matumizi ya kikokotoo kipya. Ndugu wanaJamiiForums najua katika ukurasa huu kuna...
  12. Chui mnyama

    Afrika yajivunia mabilionea 18

    Umasikini unaanziaga kwenye kuridhika
Back
Top Bottom