Recent content by chuchu2020

  1. chuchu2020

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mbio za kukinadi Chama cha Mapinduzi mkoani Geita zaanza kwa kishindo

    Mhhhhhhhh acha hasira
  2. chuchu2020

    JamiiForums Tanzania MBIO ZA KUINADI ILANI YA CCM BUKOMBE KUANZA SEPTEMBA MBILI

  3. chuchu2020

    JamiiForums Tanzania Tanzania na benki ya dunia wajadiliana utekelezaji mpango mahsusi wa nishati wa misheni 300

    TANZANIA NA BENKI YA DUNIA WAJADILIANA UTEKELEZAJI MPANGO MAHSUSI WA NISHATI WA MISHENI 300 📌 Mhandisi Mramba aeleza hatua zinazochukuliwa na Serikali kutekeleza Misheni 300 📌 Benki ya Dunia yapongeza 📌 Yaahidi kuendelea kuiunga mkono Tanzania Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi...
  4. chuchu2020

    JamiiForums Tanzania Dkt. Biteko azindua mkakati wa taifa wa mawasiliano wa nishati safi ya kupikia

    DKT. BITEKO AZINDUA MKAKATI WA TAIFA WA MAWASILIANO WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA 📌 Aagiza usiishie kwenye makabati; ukatekelezwa katika ngazi zote za Serikali/Wadau 📌 Atoa wito kwa vyombo vya Habari kuwa mstari wa mbele uhamasishaji wa Nishati Safi ya Kupikia 📌 Asema Ajenda ya Rais Samia...
  5. chuchu2020

    JamiiForums Tanzania Tanzania na JICA kushirikiana katika kujenga uwezo matumizi bora ya gesi asilia

    TANZANIA NA JICA KUSHIRIKIANA KATIKA KUJENGA UWEZO MATUMIZI BORA YA GESI ASILIA Wizara ya Nishati pamoja Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Japan (JICA) wamesaini makubaliano ya kutekeleza mradi wa kujengea uwezo Wataalam wa Wizara na Taasisi zake katika eneo la kuendeleza matumizi bora ya...
  6. chuchu2020

    JamiiForums Tanzania Miradi ya kimkakati ya nishati kuimarishiwa ulinzi

    MIRADI YA KIMKAKATI YA NISHATI KUIMARISHIWA ULINZI Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Innocent Bashungwa wamekutana kwa ajili ya kupanga mikakati ya kuimarisha ulinzi kwenye miradi ya kimkakati inayosimamiwa na Wizara ya Nishati. Kikao...
  7. chuchu2020

    JamiiForums Tanzania Mradi wa umeme wa Julius Nyerere wafikia asilimia 80.2

    MRADI WA UMEME WA JULIUS NYERERE WAFIKIA ASILIMIA 80.2 Naibu Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato, amesema kuwa utekelezaji wa mradi wa umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) utakaozalisha umeme wa kiasi cha megawati 2,115 umefikia asilimia 80.2 Naibu Waziri Byabato ameyasema hayo tarehe 17...
  8. chuchu2020

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge PAC yapewa semina na Wizara ya Nishati baada ya azimio la Bunge kuhusu Symbion

    Hivi mnafikiri wataelewa Sekta inaendeshwa vipi Kama siyo kwa kuita wataalam na kuwaeleza kile wanachofanya. Kupitia semina wabunge wanafahamu pia changamoto zinazoikumba Sekta ili waweze kuzitatua. Shida mnawaza posho tu.
  9. chuchu2020

    JamiiForums Tanzania Shilingi Bilioni 38 kurekebisha hali ya umeme wilayani Urambo

    Shilingi Bilioni 38 kurekebisha hali ya umeme wilayani Urambo Waziri wa Nishati,Mhe. January Makamba ameeleza kuwa, Serikali imetenga kiasi cha shilingi bilioni 38 kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha kupoza umeme wilayani Urambo Mkoa wa Tabora pamoja na njia ya kusafirisha umeme ya kV 132 kutoka...
Back
Top Bottom