Recent content by chubwiii

  1. C

    JamiiForums Tanzania Tanelec

    kuwa mpole ndo maisha ya siku hizi wewe tafuta mahali ujishikize life lisonge
  2. C

    JamiiForums Tanzania diageo africa programe

    hii kitu inaanza feb na deadline ishapita kama hukuapply bad luck kiongozi.
  3. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wife Anazingua

    Fanya hivi kaka wewe tafuta mtu anaehitaji housegirl then mpatie na uhakikishe anapewa kie kiasi ulichopatana nae wewe kuepusha ugomvi na mke wako, kuwa makini sana na mke wako, kwanza kampime utakuwa ushaweka mimba huyo mke ila hamjijui bado.
  4. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani maloan officer mnalaana

    :flame::sad:
  5. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani maloan officer mnalaana

    Demu wangu niko nae mtaa mmoja na anatarajia kuwa mke wangu
  6. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani maloan officer mnalaana

    mimi sijui may be wewe kama unafanya kazi bank utueleze kwasabau mimi nilishamwambia mkichelewa kutoka na jiji letu hili si mnaweza vamiwa huko ndani ila ananijibu vingine vikao,mafail na viongozi ilimradi nitulie
  7. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani maloan officer mnalaana

    Nahttps://www.jamiiforums.com/images/styles/JamiiForums/smilies/clap2.gif Kabisa nakuunga mkono na nimetoka kuambiwa na mtu mzima just now
  8. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani maloan officer mnalaana

    Jaribu sijakuzuia au kama unaweza fuatilia
  9. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani maloan officer mnalaana

    ni ngumu kweli jalibu kujiweka nafasi yangu
  10. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani maloan officer mnalaana

    Samaritan nasema hivi kwasababu lafiki yangu alinionya coz lilimkuta kama hili ila kwakuwa tulikuwa wote tuko chuo na sikuona tatizo, sasa usemi wa rafiki yangu nauona kweli kuwa wanawake wota wa bank hasa loan officer ni wahuni
  11. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani maloan officer mnalaana

    dah inauma nimetoka nae mbali tatizo watu wanaona kila anaepost anatania mjifunzeni
  12. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani maloan officer mnalaana

    hanipiti kipato mimi napokea kama mara tatu yake
  13. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani maloan officer mnalaana

    muhomakilo jr nadhani hujawahi penda, nilitamani niingilie kati yao ila kutokana na ninavyo mpenda na kumweshimu niliamua kukaa kimya na kuludi nyumbani. ila sidhani kama ntaweza vumulia bora nisake mihela yangu nimwache ataamua mwenyewe baada ya kuona kimya kirefu.
  14. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani maloan officer mnalaana

    Jamani kuna kazi mtu ukiingia ni lazima uwe mhuni au ni tabia za watu. Huyu demu wangu kila siku anaingia kitaa sa tatu usiku then analetwa na lifti ya workmate wake tena wa kiume sasa nimejalibu kuchunguza 98% ya muda wao wa kazi wako pamoja mpaka lunch kila siku vikao. Jumapili moja sasa...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Jamani maloan officer mnalaana

    poleeeee
Back
Top Bottom