Jamani maloan officer mnalaana

Jamani maloan officer mnalaana

mangatara unafikiri huko hakuna maji? na Pichu ikilowa ni identification kuwa katoka ku cheat? Vipi akenda haja hajitawadhi.
In short huyo dada anamahusiano nje!
 
Last edited by a moderator:
Fanya maamuzi magumu. Hizi kitu ni kama item za super market. Uki ng'ang'ania jiandae kwa maumivu makali.
 
mimi sijui may be wewe kama unafanya kazi bank utueleze kwasabau mimi nilishamwambia mkichelewa kutoka na jiji letu hili si mnaweza vamiwa huko ndani ila ananijibu vingine vikao,mafail na viongozi ilimradi nitulie
 
demu wako ama mke wako??? Hyo koni ilikuwa moja au kila mmoja na yake? Ulishawah fatilia utaratbu wa kazi yake kwamba anatoka saa ngap?
 
ni umasikini tuu ila ukweli kabisa mke yafaa akae nyumbani alee familia!!!!halafu sijapata ona tajiri ambaye mke wake ameajiriwa,watu wote waliofanikiwa ktk maisha wake zao sii waajiriwa

mkuu unachosema ni kweli, mke anatakiwa akae home au asimamie biashara ya familia na siyo kuajiliwa,, wanawake wasomi ni kazi kwelikweli
 
Tatizo lako unaduu kimisionary zaidi hafu mlishe koni yako huoni anaenda kula ya mwingine?! Hafu mnunulie usafiri kwani unaonekana unawivu sana. Mapenzi nayo yamehamia digitali unatakiwa UNG;AMUE hilo la sivyo utaishia kupata hasira tu, nadhani umenielewa.

Jamani kuna kazi mtu ukiingia ni lazima uwe mhuni au ni tabia za watu. Huyu demu wangu kila siku anaingia kitaa sa tatu usiku then analetwa na lifti ya workmate wake tena wa kiume sasa nimejalibu kuchunguza 98% ya muda wao wa kazi wako pamoja mpaka lunch kila siku vikao. Jumapili moja sasa ambayo ndo moyo wangu uliumia ni pale nilipokuta wako eneo la starehe na jamaa wakila cone tena wako wenyewe bila maoficer wengine kujakumuuliza kanidanganya eti alikuwa kwenye kikaoo wakubwa zake walikuja. Embu ushauri jamani nijiondokee taratibu au nimweleze ukweli
 
Mm ni loan officer kaka ila najiheshimu na mpk sasa nina mume,ila nilichogundua kaka uhuni ni tabia ya mtu,kweli kazi yetu ipo free sana mara nyingi tupo field so watu huweza kuitumia fursa hiyo kwenda kula cone,kuhusu vikao pia anakudanganya vikao vyote hufanyikia benki na si nje ya,tatu acheni kuwa na mawazo hasi ya kuona kila msichana wa benk ni muhuni hata wavulana waweza kuwa wahuni cs uhuni ni tabia.mchunguze msichana wako vizuri na kama ni hisia tu,muoe fasta kabla hajachukuliwa maana sikuhizi wanaoana kama wanakwaya
 
muhomakilo jr nadhani hujawahi penda, nilitamani niingilie kati yao ila kutokana na ninavyo mpenda na kumweshimu niliamua kukaa kimya na kuludi nyumbani. ila sidhani kama ntaweza vumulia bora nisake mihela yangu nimwache ataamua mwenyewe baada ya kuona kimya kirefu.

Siku zote ulikuwa wapi usisake mihela? Ndo unakumbuka shuka alfajiri sasa? Tafuta hela Mkuu! Atatii sheria za uhusiano bila shuruti huyo!
 
ni umasikini tuu ila ukweli kabisa mke yafaa akae nyumbani alee familia!!!!halafu sijapata ona tajiri ambaye mke wake ameajiriwa,watu wote waliofanikiwa ktk maisha wake zao sii waajiriwa

Ni kweli kabisa! Money is power! Power itakayomfanya mkeo atulie nyumbani akilea watoto na familia kwa ujumla! I like money, it's good!
 
Jamani kuna kazi mtu ukiingia ni lazima uwe mhuni au ni tabia za watu. Huyu demu wangu kila siku anaingia kitaa sa tatu usiku then analetwa na lifti ya workmate wake tena wa kiume.................... nimweleze ukweli

Ukiona manyoya.....
 
ukisema "maloan officer mna laana" nadhan haijakaa vizuri kwani sio wote wanalaana, mwenye laana labda huyo dem wako, na ataendelea kulambishwa koni tu!
 
ni umasikini tuu ila ukweli kabisa mke yafaa akae nyumbani alee familia!!!!halafu sijapata ona tajiri ambaye mke wake ameajiriwa,watu wote waliofanikiwa ktk maisha wake zao sii waajiriwa

Umeongea jambo la msingi sana.....nami pia ushauri huu ntaufanyia kazi...
 
Usijaribu kunyamaza ukiona mtu anakudanganya ujue kuna jambo nyuma ya pazia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom