Recent content by chrstopher

  1. C

    Huyu muhudumu wa kaunta ni kama ananimezea mate

    Valeur izo zimepanda kichwani unasema counter anakumezea mate kumbe anakushangaa jinsi ulivyo umemeza chupa mzima na kinusu na fegi juu uyo dada anakuchora tuuu any way valeur haijawai kukuacha mtu salama punguza ulevi ndugu
  2. C

    Nimeshuhudia mtu akiwanga, hili limenitisha

    Huu uzi bila picha ni batili mzee
  3. C

    Tuombe mwisho mwema ndugu zangu

    ahhahahahahahhahhhaha.........duh jamii forums bhana nimecheka mpaka nimelia
  4. C

    Nataka utajiri wa giza, utajiri wa mkataba, utajiri wa mizimu ama majini, naomba connection

    nenda iringa ukifika tu pale ilula mtuwa uliza nataka kwenda kwa makanyaga watakuelekeza
  5. C

    Utajiri wa kishirikina ulivyomfanya jamaa ampoteze mama yake

    cuca,smart gin,double kick,ugoro na jobo ni janga kwa taifa hili
  6. C

    Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

    duhhhhh hatari aiseeeee
  7. C

    Masikini wapigwe marufuku kunywa kulewa?

    una wazimu wewe sio bure
  8. C

    Nimependa wasifu wa Sauli, umeenda moja kwa moja kwenye maisha

    mwamba kaupiga mwingi..........all in all apumzike kwa amani tajiri wetu wanachunya
  9. C

    Amuua jirani yake baada ya kuchoshwa na maswali yake ya kikuda kila siku kumuuliza ataoa lini

    ahhahahah ndugu GENTAMYCINE hiyo ni kweli ayo mambo yapo sana hasa uko maeneo ya makazini au kwenye mkusanyiko wawatu fulani utasikia maswali yao unasubiri nini kuoa umri unakwenda huo tafuta ata changudoa muweke ndani uishi naye shauri yako.........mimi huwa nacheka tuuu mtu hajui ata status ya...
Back
Top Bottom