Kunamtaalamu mmoja aliniambia eneo ninalofugia ni dogo.
Mtaalamu mwingine kanambia eneo lako ni kubwa sana.
Ok
Banda linaukubwa wa ft6 upana ft14 urefu ft8 kimo.na eneo la kucheza ni ft10×10. Kwa Kuku mia hilo ni banda dogo au kubwa?
Wadau
Wadau ninaomba ushaur. Baada ya kusoma sana humu jf kuhusu ufugaji wa kuku faida na changamoto zake. Nikaamua nianze kukufuga Kuku chotara.kwa sasa Nina tetea 60 na majogo 10 wanao panda ambao nilitegemea waanze kutaga mwez 11/2016 lakin mbaka sasa wanatetea tu hawatagi. Naomba ushaur nifanye nn?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.