Jamaa c chalamila asiekuwa na kazi yuafutwa harafu anarudishwa na kuanza kujipendekeza msukuma cjui kabila gani ametolewa hana haja yamaneno mengi kama group la kigogo2014 anaendelea na majukumu yake
Dr Bashiru nikiongozi mzuri tangu zamani na naunga mkono hoja ya warioba Wajibu vizuri na c kurushiana maneno utazani madem ukiangalia kigwangalla hadi katoka nje ya mada analeta story za CUF na ndio u dk wake unapofeli unakuwa wa mchongo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.