Recent content by Christopher Lasha

  1. Christopher Lasha

    JamiiForums Tanzania Mbeya University of Science and Technology ( MUST ) 1st year twaweza fahamiana hapa.

    Nenda kwenye Website ya chuo kuna Regsttn form imeonesha kila kitu muhimu..Joining Instruction Form
  2. Christopher Lasha

    JamiiForums Tanzania Mbeya University of Science and Technology ( MUST ) 1st year twaweza fahamiana hapa.

    Wajumbe wapya wa MUST tufahamiane hapa..
  3. Christopher Lasha

    JamiiForums Tanzania Mkopo kwa first year 2015/2016

    Kuna raia wanapenda sana kuchezea akili za watu,,sasa huyu aliyekaa na kuamua kuandika huu uzushi sijui aliwaza nini...
  4. Christopher Lasha

    JamiiForums Tanzania Ndoa Vs Soka

    Ndoa bwana.. ""Kuwa na mume/mke ni sawa na mchezaji aliye kwenye kikosi cha kwanza cha timu ya mpira"" Usiombe utolewe sub sasaaaaa.......
  5. Christopher Lasha

    JamiiForums Tanzania Elimu Vs Upara

    :A S shade:UPARA bila ELIMU ni sawa KOVU:A S shade:
  6. Christopher Lasha

    JamiiForums Tanzania A very simple quiz!!!

    Nime :yo: Aduwilly
  7. Christopher Lasha

    JamiiForums Tanzania Simu yako ikiwa na kigezo kimojawapo hapa; ujue ni CHINA product tu...

    Umesahau ya 11.Inauwezo wa ku2mika kama heater ya kuchemshia maji....
  8. Christopher Lasha

    JamiiForums Tanzania Muhindi na Majambazi

    Huyo kanjibay ni :shetani::shetani::shetani:
  9. Christopher Lasha

    JamiiForums Tanzania kwani mi nafanana na fundi

    Kama hafanani na kiwanda cha bakhresa means,,,,, b'dada alitimiza lile shart lingine... Jamaa lazma akasomee ufund....
  10. Christopher Lasha

    JamiiForums Tanzania Kikosi kazi:matokeo ya wizara ya afya

    Yaeleka kanda ambazo bado hawajabandika,waheshmiwa bado hawajamaliza kuchakachua.
  11. Christopher Lasha

    JamiiForums Tanzania Kikosi kazi:matokeo ya wizara ya afya

    Kunandugu yangu ametokea hapo muda huu. Anasema amekuta issue hawajabandika na alipojaribu kuwaona wausika,wamemwambia wanaweza wakatoa Jumatatu. Yeye mwenyewf akachoka na ratiba zao zisizoeleweka,akaamua kuondoka lakini anadai kuna wanafunzi wengi wamekwenda kuulizia kuhusu. Nahisi kama...
Back
Top Bottom