He was my School mate at Mwakaleli High School,and I remember one day 2012 we saw each other at VILLA PARK Mwanza.We enjoyed a lot as you know if you meet your school mate whim you lost morethan 10yrs,at that time he was working Bugando Medical Center.He was very cool and very charming person.We...
Nafikiri kuna haja Serikali katika mitaara ya Elimu za Msingi na Sekondali,kuna haja ya kuingiza Somo la Uzalendo.Maana kuna baadhi ya watu kwenye mambo hata yanayohusu Nchi yetu wao utadhani sio watanzania au hata kama ni watanzania lakini mawazo yao utadhani sijui PUNGUANI.Usipokuwa na uchungu...
Tatizo la sisi wabongo mtu akiamua kujitoa kwenye mambo kama hayo mnasema mamluki,lakini anapokuwa bado yuko kwenye gemu na matatizo yakiendelea kuizonga chama au jamii mtamuona hana faida maana ana ng'ang'ania madaraka alafu anashindwa kutimiza majukumu yake.Mwampiki ameona kuliko kuonekana...
Utawala goigoi unahusiana na nini hapo?Mbona mnapenda kuchanganya mambo jamani?Nchi gani unayoijuwa wewe yenye utawala ngangari alafu hakuna madawa ya kulevya?Suala la madawa ya kulevya ni janga la dunia kama unavyoon ukimwi.sasa watu kujiingiza kwenye matumizi na biashara hiyo ni tamaa zao za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.