Recent content by Christian Lucas

  1. C

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa amkosoa Rais Kikwete kuhusu Rwanda

    Kwa alichoshauri Kikwete kiko wazi na kinahitimishwa na kufafanuliwa vizuri na yeye mwenyewe katika Hotuba aliyoitoa mwisho wa mwezi uliopita,Kiukweli kabisa Mh Rais katika Hutuba yake ameongea mambo mengi sana ya msingi na kwa HUTUBA yake hiyo nzuri,mimi nadhani ilitosha kuondoa hali ya...
  2. C

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yatangaza kutomtambua John Tendwa

    Well,tukiondoa ushabiki wa kiitikadi ni kwamba Tendwa kwa nafasi yake hakupaswa kutoa kauli ya namna hiyo hasa kwa kujua kwamba anachokizungumza ni kitu kigumu kuwezekana kama alivyonukuliwa na vyombo vya Habari waziri Wasira(na kada muhimu kwa ccm akisema)!kwa kauli yake hiyo ameonyesha kupwaya...
  3. C

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yatangaza kutomtambua John Tendwa

    Hello!it's a great honour to join u great thinkers,I appreciate being approved to be in your community and I THANK YOU.
Back
Top Bottom