Recent content by chriss sylivester

  1. C

    JamiiForums Tanzania Wanawake, wapi tunakosea kuwaandaa wakati wa tendo?

    1) Huwa tunakosea wapi kwenye kuwaandaa katika swala zima la kuelekea katika kufanya mapenzi? 2) Nyie mnapenda tuwe tunawaandaaje, na nini hamkipendi tukifanye tunapowaandaa? Yale maneno ya pembeni muyaache, semeni ukweli watu tuache ujuaji.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Leo natamani kusikia kutoka kwenu wadada

    Usemalo ni sawa na sahihi ila kuna mengi usitarajie uta ambiwa ukweli ila kwenye public utajua mambo mengi zaidi yana fungua macho watu wengi zaidi
  3. C

    JamiiForums Tanzania Leo natamani kusikia kutoka kwenu wadada

    Leo natamani kusikia kutoka kwenu wadada, kuna mambo ambayo sisi wanaume tuna yafanya na yamekuwa kero sana kwenu ila mnashindwa kutuambia. Leo tupo hapa kusikiliza vitu ambavyo huwa tuna wakera ila hamtu ambiagi kwenye mahusiano.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini mwanamke analeta wivu, ikiwa alikataa aliotongozwa?

    Inaweza ikawa afu mimi nikawa sijalewa labda
  5. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini mwanamke analeta wivu, ikiwa alikataa aliotongozwa?

    Kwanini unakuta unamtongoza mdada na unampenda kweli, ila anakukatalia ila muda umeanzisha mahusiano mengine analeta hisia za wivu au kutaka kukuharibia wakati yeye alikuwa kataa
  6. C

    JamiiForums Tanzania Faida/umuhimu wa kuwa na rafiki

    Urafiki ni muhimu katika maisha yetu kwa sababu unatoa fursa ya kuwa na watu ambao tunaweza kushiriki nao maisha yetu, kugawana hisia zetu na kupata msaada, kujifunza mengi kutoka kwao na kuwa na watu ambao tunaweza kuzungumza nao wakati wa furaha na dhiki. Hapa kuna sababu kadhaa kwa nini...
Back
Top Bottom