Kama umeelewa ndugu...utaona nini cha kufanya Mwenyez Mungu katupa akili tufikirie...hope utafikiria zaid na tusaidiane kujenga taifa letu...Asante
Sent using Jamii Forums mobile app
Elimu ni kitu muhimu sana maishani.Ndo maana hata Mwenyezi Mungu alijua kabisa mwanadamu hatoweza kuishi na amani humu dunian ndo maana akatuhasa kumkamata sana elimu tusimwache aende zake.Lakin kwa hapa nchini Tanzania mambo nitofauti kidogo maana jamii inalalamika kwa kuwa wasomi hawajengi...
Kwa watu wanasema ndoa ni kama ngome iliyotekwa waliomo ndani wanatamani kutoka lkn waliokuwa nje wanatamani kuingia.
Labda nikuambie kitu ndoa ni tamu sana ikipata mwanamke mwenye hekima na mwanaume mwenye akili."kila mwanamke mwenye hekima hujenga nyumba yake lakin aliye mpumbavu huibomoa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.