Nimekuelewa kbs, in the grand scheme of things what i want in life is financial freedom. Yawezekana hilo hitaji ndo linafanya niwe na perspective mbaya ya maisha, sijajua maana maisha ni mtazamo tu - (kitu ambacho kinaweza kumpa furaha mmoja, kinaweza kikamfanya mwingine alie.......hivyohivyo...