Recent content by Chris16

  1. C

    JamiiForums Tanzania Looking for a wife (aliyeokoka)

    Wapendwa nawasalimu kwa jina la Bwana! Kama heading inavyojieleza hapo juu. Natafuta mwanamke ambaye ana utayari na maisha ya ndoa. Sifa za mwanamke nimtafutae ni kama zifuatazo:- 1. Awe anampenda Yesu (Namaanisha awe ameokoka au awe mcha Mungu). Anaweza akawa mlokole au mkristo wa Roman au...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa!

    Yaani mkwe.re alikuwa msanii kupita kiasi....Tz haikuwa na Rais for 10 yrs, huyu jamaa nadhani uwezo wake ulikuwa mdogo sana lakini tu mpenda vyeo na misifa.....Nakumbuka pale UDSM Dr. mmoja aliwahi kuniambia GPA aliyopata mkwe.re pale chuoni...hata aombe kusoma master degree hawawezi kumu-admit...
  3. C

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Wakenya wadai Olduvai Gorge ipo Kenya!

    Okay, sasa akishaenda huko wewe itakusaidia nini? acha ujinga wewe! fanya shughuli zako muhimu zikuingizie kipato sio unakazania vitu ambavyo huna tija navyo...utaendelea tu kuwa maskini kwa kushikilia bango vitu ambavyo havikuletei faida yeyote.
  4. C

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Wakenya wadai Olduvai Gorge ipo Kenya!

    Wabongo sometmies hopeless kabisa, sasa aliposema anaomba msamaha kwa alichokisema...mmefaidika na nini? yaani manshikia bango vitu ambavyo ni nonesense kabisaa....ndio maana nchi haiendelei
  5. C

    JamiiForums Tanzania Dr. Carine Wangwe ateuliwa kuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu NSSF

    Mtu akiteuliwa maana yake tayari kuna vetting ya kutosha imefanyika...sasa kinachotakiwa tulieni muone anavyofanya kazi. kumbukeni hizi sio enzi za Jk kuangalia udini au uswahiba
  6. C

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki

    Huyo ndo magu
Back
Top Bottom