TBjoshua hawezi kuja Tanzania kwasasa wala hakuna mtu yyt ndani ya Tanzania , Africa, ulaya, America, Asia etc anaye weza kumwalika Tbjoshua kisha akakubali kwenda!
Marais wengi wamempa mialiko ktk nchi zao hajawahi kukanyaga!
Kwasasa Tbjoshua yuko ktk faragha na hajaonekana hata ktk ibada za...
Kaishauri serikali isimamie uchaguzi kwa haki! Mpaka sasa ukawa wamefanya mikutano yao mikubwa na midogo kwa Amani! Hivyo sehemu hiyo ya mwisho ni mamlaka zinahusika! Wananchi na vyama vimeshatimiza wajibu wao!
Kuna kaukweli flani lkn hiyo English hajaandika muamerica!
English ya mkenya, mtz, mganda, mnigeria, msouth , UK , India au America inatofautiana katika kuunganisha au kuelezea jambo flani!!!
Huyo ni mtanzania pure !!!
Mpaka sasa hivi ccm ndio waneshashindwa uchaguzi vibaya sana, ndio wanakimbia kufanya mikutano mingi wakati ukawa hawana pressure! Ukawa ilishafanya kampeni inasubiri uchaguzi mengine ni kutimiza ratiba!!!
Kasomeni historia ya Musa vzr, Musa alimuua mmisri mpaka alikimbilia kuishi uhamishoni kwa miaka mingi,katika maaana hiyo Musa hakustahili kuwa kiongozi wao, kilichotokea nikuwa Mungu alimwamini akampa majukumu!!! Hivyo kuwa na mapungufu hayanyimi furusa , no 1 is perfect!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.