Ukweli ndio huu, hivi vitanda vilishaagizwa kwa ajili ya jengo jipya pembeni ya Moi. Hivyo havikununuliwa kutokana na pesa yeyote ile kutoka kwenye michango. Na hii inaonekana kwenye hizo picha, vitanda vimepelekwa kwenye jengo jipya ambalo halina kitanda. Nenda kesho pale muhimbili kwenye wodi...
hizi siasa zitaisha na watu watajua ukweli. Wapi hapa Tanzania kuna Supplier mwenye vitanda 500 vya hospital anayeweza kuvitoa ndani ya siku 1? Je million 200 unaweza kupata vitanda 500? huku ni kuhadaa wananchi. hivi vitanda vilikuwa msd kama stock na ilitakiwa kusambazwa kwenye Hospital...
Nakubaliana nawe..hi ni Siasa tu hakuna la ajabu na ni dhahiri igizo lote lilishapangwa ndio mana mara moja kateua mtu mwingine. We inawezekana vipi Rais afanye ziara ya kudhitukiza halafu hapohapo amfukuze mtu na kuteua mwingine. Alijuaje huyo aliyemteua kwamba anafaa na kwamba atakubali kuteuliwa.
Mkurugenzi alikuwa anakaimu tu, hivyo amerudishwa kwenye kituo chake cha awali. Bodi ilikuwa imeshamaliza Muda wake. Hivyo hakuna yeyote aliyewajibishwa hapo.
Manunuzi hayakufanyika kwa sababu hela hazikuwepo na ndio mana kwenye taarifa ya ikulu inasema hela zimetolewa hiyo ni dhahiri kabisa...
1. Rais kavunja Bodi ambayo imemaliza muda wake
2. Kabadili Kaimu Mkurugenzi na kumwamishia Aliyekuwa anakaimu.
3. Rais ametoa wiki moja na kwa vyoyote vili isizidi wiki 2 matengenezo yaweze kufanyika. Ati Wizara imeshatoa 3billion.
sasa hapa kuna lipi La tija alilofanya? je huu sio mchezo tu...
hawawezi kupongeza udhalimu. wote wanajua hakupata kura halali. na ndio mana hata mataifa makubwa hayajafanya hivyo. Subiri Report ya Mwisho ya waangalizi wa uchaguzi ndio utaona maoni yao juu ya uhalisia wa kura.
Tunachotaka ni ukweli ujulikane. sio lazima CDM wapewe ushindi kwa sababu sheria iliyopo ni kandamizi na hairuhusu kurudiwa matokeo. lakini jamii ifahamu kuwa CCM haikushinda kwenye Kura za wananchi. Hii itawaaibisha na kutengeneza mazingira bora ya uchaguzi.
Wanakataza mikusanyiko lakini sio mtu mmoja kukaa.. hiyo mtu mmoja momoja wakikaa sehemu mbali mbalindani ya 200m bado tunaweza kulinda kura na hautakuwa issue.
Kila kitu kinawezekana. CCM wamewaaminisha wafuasi wao kuwa kila kitu haiwezekani hivyo ni ngumu kumweleza manaCCM kuwa kifuko bure inawezekana. Pale mombasa kuna watu wengi na magari mengi sana zaidi ya Kigamboni na distance ni ndefu lakini Bure. Hii ndio inaitwa Huduma za jamii. sasa CCM...
Wewe unajua hiyi serekali yako huwa inafikia badget kwa kiasi gani? miaka yote bedget haijafikiwa hata kwa 50%. sasa unapomsifikia Kikwete kwa kurubuni wa Tanzania
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.