Recent content by choza choza

  1. choza choza

    JamiiForums Tanzania Nitajie manispaa zlizochoka zaidi kwa Tanzania

    Kahama
  2. choza choza

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Mkuu amfungia mwanafunzi darasani kwa Mnyororo

    Mwalimu mkuu anadhibiti wadudu wa baadae
  3. choza choza

    JamiiForums Tanzania Mganga Mkuu wa Serikali afafanua sakata la Muuguzi na Askari kuvutana Wodini Hospitali ya Kibondo

    Daah yani ka alfu 60 ka kumfuta jasho muuguzi ni nongwa ila mawaziri wameruhusiwa kula kwa urefu wa kamba
  4. choza choza

    JamiiForums Tanzania Yani Mtu akazaliwa akaitwa Yeshua mwana wa yosef aliezaliwa na miriam, nyie baada ya karne kazaa mkasema aitwe issa, 😂😂

    Logic ya wafuasi wa Muddy wanasema hayo yote sio majina yake bali Issa
  5. choza choza

    JamiiForums Tanzania Ogopa sana aina ya watu wanaozungumza na kila mtu

    Sasa kama ofisini kiongozi asipoongea na kila mtu kazi zitafanyikaje?
  6. choza choza

    JamiiForums Tanzania Dada nataka nikavunje agano la kujinyonga kwetu mwezi august, leo kajinyongaa dah

    Vipi kuhusu maagano ya chaputa maana naskia walioingia huko hawawezi kutoka
  7. choza choza

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mlevi wa kutazama vipindi vya wanyama ila huyu mnyama simpendi

    Mnyama analiwa akiwa anajiona live
  8. choza choza

    JamiiForums Tanzania KERO Vigezo vya pepmis vimeacha maumivu kwa baadhi ya watumishi katika kupanda madaraja

    Unataja watumishi then ndani unataja walimu, sasa hiyo shida ipo kwa walimu au na watumishi wengine?
  9. choza choza

    JamiiForums Tanzania Je wajua ya kwamba Ukristo umegawanyika zaidi ya madhehebu, dini 45,000 duniani kote? Hi Ina Ishiria nini?

    Yesu ambaye waarabu anamwita Issa ni noma. Wakristo wanamuamini kwa njia yao Waislamu wanamuamini kwa njia yao Yeye mwenyewe aliwahi kuwauliza wale mitume wake kuwa " watu husema ya kuwa mimi ni nani? Kila mmoja akaja na majibu yake. Kisha nayeye akawauliza na nyinyi mnasema mimi ni nani?
  10. choza choza

    JamiiForums Tanzania DOGMA ndio msingi wa dini ya ukristo

    Kwa logic tuu ya kawaida Hiyo Quran mnayodai imeshushwa ikiwa na habari ya mussa, ibrahimu, Yesu nk, iliikuta Biblia ilishaandika hizo habari karne nyingi tuu zilizopita ( copy and paste) Hakuna ushahidi wowote wa kihistoria au ki theolojia kwamba uislam ulikuwepo kabla ya Muhammad isipokua...
  11. choza choza

    JamiiForums Tanzania DOGMA ndio msingi wa dini ya ukristo

    Kijitabu kilichoandikwa 650AD
  12. choza choza

    JamiiForums Tanzania DOGMA ndio msingi wa dini ya ukristo

    Unataka kusema maandiko ya mnyaazi ndio ya ukweli wakati ni copy na paste ya dini zingine
  13. choza choza

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Rangi 3 za msingi

    Huu uzi watu walikua wanachanganya kati ya rangi za mwanga, na hizi rangi za kawaida " colour pigment.
  14. choza choza

    JamiiForums Tanzania Kwa nini ni makosa Mzumbe, Ilboru, Kibaha, etc kuitwa shule ya vipaji maalumu?

    Saizi karibu kila shule ni vipaji maalum,sengerema form six one 500
Back
Top Bottom