Recent content by Chova

  1. Chova

    Fanya hivi kupata Cheti cha Kuzaliwa kwa njia ya mtandao

    Cheti wanaprint wao wewe kwenye taarifa unajaza sehemu ambayo wewe unaweza kuchukulia cheti
  2. Chova

    Ng’ombe 1 = 900K kwa Mwezi!

    Ukitaka kufuga ng'ombe wa maziwa usianze kununua kwanza ng'ombe kabla ya kuandaa malisho.
  3. Chova

    Ng’ombe 1 = 900K kwa Mwezi!

    Ng'ombe wa maziwa ukiwanao 4 tu wanaoweza kutoa lita 10 kwa siku kwa kila mmoja ambao ni chotara unatengeneza hela nzur tu. Kama haufugi au haujawahi kufuga ng'ombe wa maziwa utaona hizo ni kama hadithi tu lakin ukweli wanalipa. Kuna mzee nipo nae mtaan ana ng'ombe 1 anauwezo wa kutoa lita 10...
  4. Chova

    Msaada wa chanjo ya kideri ya kuku, nimehangaika na chanjo ya tatu moja, naona nafeli sasa

    Hawaugui kam utakuwa unawapa kila week mara 1 au 2. Yenye inakuwa kama kinga pia.
  5. Chova

    Msaada wa chanjo ya kideri ya kuku, nimehangaika na chanjo ya tatu moja, naona nafeli sasa

    Mimi majani ya mpapai natumia kwa magonjwa ya tumbo yote
  6. Chova

    Msaada wa chanjo ya kideri ya kuku, nimehangaika na chanjo ya tatu moja, naona nafeli sasa

    Ww unao wengi changanya ya dukan na hiyo Mimi si subir kuku aumwe ndio nimpe dawa hii aliniambia Vet wangu, kwa hiyo kwa week hizo dawa lazima wanye ata mara 1 au 2 kwa siku.
  7. Chova

    Msaada wa chanjo ya kideri ya kuku, nimehangaika na chanjo ya tatu moja, naona nafeli sasa

    Tumia mwarobaini ata mara 1 kwa week unatwanga alafu unachuja unawekea. Mimi sinunui dukani natumia hiyo mwaka wa 3 huu nilishaachaga kununua dawa, natumia mwarobaini na majani ya mpapai basii.
  8. Chova

    Huyu hapa ng’ombe anayekamuliwa lita 45

    Kupandisha kwa AI ndio ataanza kupa hao ng'ombe anaowataka taratibu taratibu hadi atafika F4
  9. Chova

    Huyu hapa ng’ombe anayekamuliwa lita 45

    Huo ndio ukwel kama anatak kuanza kufuga atafute ng'ombe ambaye ameshazaa anauwezo wa kutoa lita ata 5 ndio aanze kupandisha kwa AI
  10. Chova

    Huyu hapa ng’ombe anayekamuliwa lita 45

    Ng Ng'ombe wa maziwa unamtengeneza mwenyew zizin kwako mkuu hao wa kununua kwaTZ kukuuzia mtu ng'ombe wa lita 30+ sio rahis.
  11. Chova

    Ng'ombe wa maziwa anasumbuliwa na reccurent mastitis. Msaada tafadhali

    OK nashukur na hizo DCT bei zake tafadhar zipoje kwa tube 1
Back
Top Bottom