Recent content by Chotti de Alba

  1. Chotti de Alba

    Hivi TARURA mmejiangalia na kujitathmini jinsi mnavyokamua wananchi pesa?

    Mama huwa anasoma mitandao ya kijamii. Ataliona hili. Naona wasaidizi wake wameshindwa kazi. Mama ataweza👏
  2. Chotti de Alba

    Hivi TARURA mmejiangalia na kujitathmini jinsi mnavyokamua wananchi pesa?

    Walifanyie kazi. Kama wanahitaji pesa basi waigeuze serikali iwe kama organization ya watoto yatima tufanye donation. Wasitudhulumu
  3. Chotti de Alba

    Hivi TARURA mmejiangalia na kujitathmini jinsi mnavyokamua wananchi pesa?

    Mbona ni Aibu kwa serikali. Mama Samia ameliona hili swala? Ameongea chochote? Sio sawa
  4. Chotti de Alba

    Matumizi ya energy ni bomu kwa Vijana Afrika

    Kaka mshana nimekutafuta PM nimeambiwa siwezi kuanzisha conversation. Nilikua naomba msaada kidogo. 𝖠𝗌𝖺𝗇𝗍𝖾
  5. Chotti de Alba

    Hivi TARURA mmejiangalia na kujitathmini jinsi mnavyokamua wananchi pesa?

    Wadau. Salam. Hivi TARURA mmejiangalia na kujitathmini jinsi mnavyokamua wananchi pesa? Ngoja niwape scenario. Mfano mimi nimeenda kupaki gari pale makumbusho nje ya jengo la LAPF, Mdada wa parking kaniona kapiga picha kaniandikia deni. Baada ya kupiga picha yeye anaondoka anaenda upande...
  6. Chotti de Alba

    Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

    Somo zuri sana. Ila naomba uhakiki katika hili. Je naweza kuogea nara mbili au zaidi kwa siku kwa siku saba then nikaendelea siku ya nane? Au naoga mara moja kwa siku na kwa siku 7 tu au 14
  7. Chotti de Alba

    Mange amshambulia Lulu

    mi sijui hata watanzania wameingiwa na pepo gani yaani. who is mange?? yani ukimkosoa mange kila changudoa wa kike kwa wakiume watakukosoa.like wtf is she
  8. Chotti de Alba

    Mange amshambulia Lulu

    mihemko itawaua kabla ya siku zenu maana mada hamzijui mnaparamia. uwezo wa kufungua account jf usijione ndo una uwezo wa kupembua mambo. muwe mnasoma sentensi mkazielewa. inaonesha akili zako ziko sehemu gani ya mwili yaani mna irrational ways of thinking! mi nimeongelea swala la mange na...
  9. Chotti de Alba

    Mange amshambulia Lulu

    HEHEHEH Kituuuuuu
  10. Chotti de Alba

    Mange amshambulia Lulu

    mkiishiwaga maneno sasa ndo mbinu zenu hizi. how pathetic yaani jeshi la uduwanzi :D
  11. Chotti de Alba

    Mange amshambulia Lulu

    hata ningekua recho minguzo ndo hivyo mshaurini mjuaji mwenzenu..
  12. Chotti de Alba

    Mange amshambulia Lulu

    aje aongelee tanzania tuuone ushujaa wake. ameteka akili za mazumbukuku kama wewe na wenzio
  13. Chotti de Alba

    Mange amshambulia Lulu

    Ningeshangaa, lol! sitaki kujua mwalimu wako wa shule ya msingi alitumia mda gani kukuelewesha vya darasani tu maana unakurupuka kama mahindi ya bisi kikaangoni.ila siku nyingine uwe unamjibu alie comment maana hata huyo uloenda kumdandia hujui kacomment kwa maana gani. so kilichokukera ni...
  14. Chotti de Alba

    Mange amshambulia Lulu

    and about lulu nlikua sijagusia, dada yenu mange angeachia tu ushauri hapo kwamba mdogo wangu liz just chill off the social media for now basi angeeleweka, khaa akaanza kueleza mapungufu ya jinsi wanasheria wanavofanya kazi (laughing out loud)yani huyu dada is a know-it-all as if amepitia hata...
  15. Chotti de Alba

    Mange amshambulia Lulu

    the funny part about psychology, ukishajua kuudanganya moyo utasogeza miaka kadhaa ya kuishi of which mange thinks anasogeza ya kwake kwa ku bully watu. the problem is, people think that mange is their hero na hivi nnavoongea wapo watu watapanic kwasbb hawajui ukweli. wengi mmemjua mange 2015...
Back
Top Bottom