Recent content by Chosenny

  1. Chosenny

    JamiiForums Tanzania The Inner voice: Sauti ndogo iliyo ndani mwetu ikitueleza kusudi la maisha yetu

    Your extremely blessed [emoji120] I salute you
  2. Chosenny

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Utawala wa Jakaya Kikwete ndani ya Miaka 10

    Itoshe tu kusema watanzania huw hawaaminiki leo mnajifanya mlimkubali jk wakati enzi zake mlimpiga madongo
  3. Chosenny

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Ninampinga Magufuli hadharani. Sio mnafiki na sijahongwa

    [emoji116][emoji116][emoji116] Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  4. Chosenny

    JamiiForums Tanzania GE2020 Jicho la tatu: Huu ndio utofauti wa Tundu Lissu na John Magufuli

    Sio wote mm ni mtanzania na sikuchangia bwan
  5. Chosenny

    JamiiForums Tanzania GE2020 Jicho la tatu: Huu ndio utofauti wa Tundu Lissu na John Magufuli

    Siyo tunayemtaka sema unayemtaka usiniwakilishe ndg
  6. Chosenny

    JamiiForums Tanzania GE2020 Membe: Kamati Kuu haina mamlaka ya kunifukuza Uanachama wa CCM bali Halmashauri Kuu ya Taifa. Asema kati ya Juni na Oktoba chochote kinaweza tokea

    Duuh huu mkanda mtamu saaan hii 2020 tutajionea mengi saan wakuu tujiandae kisaikolojia
  7. Chosenny

    JamiiForums Tanzania Tupia maswali fikirishi yenye kuumiza akili

    Atakuwa anaisubir weekend ngj tuvute muda atajisogeza tu
  8. Chosenny

    JamiiForums Tanzania Tupia maswali fikirishi yenye kuumiza akili

    Finish ni kumaliza Complete ni kamili Kwa mbali sijui tuko sawa mkuu
  9. Chosenny

    JamiiForums Tanzania Habari wa jamii forum

    Thanks madam
  10. Chosenny

    JamiiForums Tanzania Habari wa jamii forum

    Asante saan babuuu
  11. Chosenny

    JamiiForums Tanzania Hivi hii "Kovidii" iishie hapa au iendelee?

    Duuh ni hatar hku kwetu ni fujo watu wamefufua hadi magari ya enzi za nyerer yaan ni fujooo tu buku jero weseee la kutosha balaaa mtaan
  12. Chosenny

    JamiiForums Tanzania Ushaexperience hii?

    Mimi nikilala chali ni mauzauza tu ndoto za kutisha balaaa ila hyo ya kulal kichwa kipo kweny slope sijaexperience wakuu
  13. Chosenny

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana kuongeza urefu wa mwili?

    Hiyo ndio imetoka mkuu lakn we bado kijan huenda ukarefuka kdg
  14. Chosenny

    JamiiForums Tanzania Habari wa jamii forum

    Asanteh sana mkuu hpa nimaeneo fulani tuliv saan Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Chosenny

    JamiiForums Tanzania Habari wa jamii forum

    Mim naitwa nguno Paul ni mgeni hum nipo kwaajil ya kujifunza kuburudika pia kuongeza marafika Nikarbisheni Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom