Hiyo hali ya nguvu hasi inapokuvamia usishindane nayo,
Tulia uwe kama mtu anayeshuhudia mwilini Mwako, Yani badala ya kufuata mnyororo wa mawazo hasi yanayoletwa na akili yako, elekeza umakini wako kwenye uhalisia wa mwili…Hisi kifua kinavyobana, mapigo ya moyo yanavyoenda kasi, au tumbo...
Kiumbe chanya yupo pia ila nataka uelewe kupitia huu mfano
Fikiria viumbe hivi viwili kama mabondia wawili waliopo ndani yako
bondia Hasi umekuwa ukimlisha na kumpa mazoezi tangu utotoni (kila unapowaza makosa ya nyuma, kila unapokasirika, unapofuatilia drama, na unapowaza hofu kuhusu kesho)...
Hakiwezi kufa kabisa chief, kwasababu kina asili ya kibiolojia na kisaikolojia, Sisi ni binadamu, si roboti, Kwahiyo mfumo wetu wa neva na akili uliumbwa kuhifadhi kumbukumbu za maumivu na hatari ili kutulinda…Kumbukumbu na maumivu yote ya nyuma yaliyotengeneza hicho kiumbe bado yapo kwenye...
Cha kufanya ni hivi ile hali ya giza au hasira inapoanza kupanda, usikimbilie kwenye simu, Kunywa pombe, au kuanza kugombana…Tulia na ujiambie "Ah! Kiumbe cha maumivu kimeamka sasa hivi"
Kishuhudie Mwilini Mwako, Yani badala ya kufuata mnyororo wa mawazo hasi yanayoletwa na akili yako, elekeza...
Uliwahi kugundua kuwa kuna siku unaamka ukiwa na furaha na amani tele, lakini ghafla baada ya saa chache labda kwa sababu ya neno moja dogo uliloambiwa, au wazo moja tu baya lililopita kichwani unajikuta unadondokea kwenye giza nene la hasira, huzuni, au unyonge ?
Hiyo hali haitokei kwa bahati...
Lazima utengeneze utambulisho boss, Yani baada ya muda wewe uwe bingwa wa nguo za watoto umri Miezi 0-12
Uuze hisia kwa watu, Yani ifike hatua ambayo mzazi yeyote akifikiria nguo za watoto wachanga jina la kwanza kichwani linakuja la kwako.
Kwenye hiyo million 30 tumia million 10 tu
Tafuta wamiliki wa flemu za biashara, Ambazo zipo karibu na maeno yaliyoendelea tayari lakini hazina hadhi nzuri, Ingia mkataba nao, Rekebisha fremu kuwa za kisasa ili kuongeza thamani, Ongeza kodi inayoendana na thamani mpya, Kula maisha kaka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.