Recent content by Choro nondo

  1. Choro nondo

    Subaru legacy year 2004

    Habari zenu ndugu zangu..natumai ni wazima wa afya kama ndo ivyo tumshukuru mungu kwa pamoja alhamdulilah mimi ndugu zangu na subaru legacyb4 year2004 shida yangu moja tu kwenye ac nikiwasha ac ubaridi unakuja baadae unakata nalafu unarudi tena ivyo ivyo nishajaza sana gas nakusafisha filter...
  2. Choro nondo

    Vodacom kazi imewashinda mmekuwa wababaishaji katika huduma zenu

    Niliweka almost elfu4 ikaingia buku tu elfu3 nzima wamechukua kesho yake nikaongea nao kwa uhuduma kwa wateja wakaniambia eti wakati naweka data yangu ilikuwa on aisee wahongo nalafu anayeongea ivyo demu nikamwambia na diploma ya It najua data ikiwa on na off wamenipiga ile ela Sent using Jamii...
  3. Choro nondo

    Msaada hi GARI ya Audi TT 2011

    Oooh Na ki vitz old model ndo yamizunguko hii unaonaje nikaifanya ya outing Na trip moja moja za chuga itafaa?
  4. Choro nondo

    Athlete Crown sio gari la kubishana nalo ukiwa barabarani acha liende

    Driving bila kujua nguvu ya GARI yako sasa umeinunulia nini you got race man
  5. Choro nondo

    Audi TT coupe tfsi quatro 2012 je ni imara

    Habari ndugu zangu hii GARI sichoki kuitamani nakuiwaza kichwani kila mda cc 2000 ni mini sports car pia nilivyosoma inafaa Na rural roads nilikuwa nauliza gari za engine za ivi vipi wese yake?Na spea zake zinapatikanaje ?na kwa Arusha service au dar ntakuwa nafanyia garage gan nzur?ntashukuru...
  6. Choro nondo

    Msaada hi GARI ya Audi TT 2011

    Kwa sababu ya spea sio?napenda Audi cos GARI zinazotengenezwa Germany zinakuwa imala ata kama spea ghali uki repair once itachukua mda Ku repair tena thanks brother pamoja ...ila kwanini umesema nisichukue Audi? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Choro nondo

    Msaada hi GARI ya Audi TT 2011

    Habari ndugu zangu hope mko poa Na buheri Wa afya ..ndugu zangu samahanini sana me Mgeni Wa magari kwenye pita pita zangu nimeona GARI ya Audi TT 2011 iko poa sana INA cc 1980 nimeipenda Na very affordable swali langu je vipi services zake in terms of gharama?ulaji wake Wa mafuta?Na spea zake...
  8. Choro nondo

    Audi TT 2011

    Vipi spea zake Na oil consuption
  9. Choro nondo

    Audi TT 2011

    Asante Mkubwa nainunua iyo Na ki IST
  10. Choro nondo

    Six ways men can escape poverty

    With faith in Allah time and hardworking plus prayers they surely do the work
  11. Choro nondo

    Audi TT 2011

    Nauliza jamani izi GARI spea zake zinapatikana nnchini?pia vipi ulaji wake Wa mafuta ?INA cc 1980 pia I think ni sport car..Nilichoipendea hii GARI muhundo,seats Na nguvu yake ya engine plus total speed ..kabla sijanunua ningeomba ushaur is it suitable for our roads plans kuhamia Arusha mjini so...
  12. Choro nondo

    Words of wisdom

    Don't reply when you are angry,don't promice when you are happy and don't make decisions when you are sad...
  13. Choro nondo

    AUDI TT 2011

    Habari zenu ndugu zangu ..naomba kuuridha kwakuwa mie Mgeni Wa magari nimetokea kuipenda Audi TT ya Mwaka 2011 cc1989 kama sikosei location IPO Yokahama Japan hii GARI adi inafika Tanzania port ni jumla ya $9884 swali langu.hii GARI I think ni sports car cause speed yake ad 260 ulaji wake Wa...
Back
Top Bottom