Recent content by Choosen Branch

  1. Choosen Branch

    JamiiForums Tanzania Mashamba ya kukodi Sumbawanga

    Hiyo bei ni Sumbawanga sehemu gani? Nataka nikodishe
  2. Choosen Branch

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rufiji: Akina mama wagalagala chini kumpokea Mbunge Mchengerwa Ikwiriri

    Bado Taifa letu linaendelea kupambana na wale Maadui watatu aliowataja Hayati Mwl. JKN. 1. Maradhi 2. Umaskini 3. Ujinga Sijajua kama kuna tathmini huwa zinafanyika kuangalia hawa maadui watatu tunawaangamiza au wameanza kutuzidi. C.B
  3. Choosen Branch

    JamiiForums Tanzania Hili suala la malezi ya hivi limekaaje?

    Hili lilikuwa jambo la muda kidogo, kwa sasa haiwezekani tena. Ila pengine haukunipata vyema nilichokuwa namaanisha ni kwamba. Mzazi anaowajibu wa kumlinda nwanae hilo halina shida kabisa. Ila ninachoona kinashida ni vile mzazi kuendelea kumfuata fuata mwanae (kumfuatilia) mwanae ambaye kiumri...
  4. Choosen Branch

    JamiiForums Tanzania Hili suala la malezi ya hivi limekaaje?

    Mkuu jikite kwenye mada kuu, usiende nje ya mada tafadhali.
  5. Choosen Branch

    JamiiForums Tanzania Hili suala la malezi ya hivi limekaaje?

    Hauwezi kutoa maoni mpaka utoe maneno ya kashfa kwa mtu usiyemfahamu? Au kwa sababu upo nyuma ya keyboard?
  6. Choosen Branch

    JamiiForums Tanzania Hili suala la malezi ya hivi limekaaje?

    Kwani hatma ya mahusiano baina ya mwanaume na mwanamke huwa ni nini?😊
  7. Choosen Branch

    JamiiForums Tanzania Nimeachwa na mpenzi wangu jamani!

    Pole sana kijana, jikaze angaza macho unyakue mwingine
  8. Choosen Branch

    JamiiForums Tanzania Hili suala la malezi ya hivi limekaaje?

    Ningefurahi kama ungejikita kwenye mada kuu kuliko kuanzisha mjadala mwingine.
  9. Choosen Branch

    JamiiForums Tanzania Hili suala la malezi ya hivi limekaaje?

    Nashukuru Kwa baraka ulizozitamka. Nawe upate kibali kwenye shughuli zako za kila siku.
  10. Choosen Branch

    JamiiForums Tanzania Hili suala la malezi ya hivi limekaaje?

    Pengine, bado haujanipata vizuri. Hoja iliyopo sasa ni juu ya uangalizi uliopitiliza kwa msichana mkubwa hivyo kana kwamba ni mtoto mdogo. Najiuliza maswali huyo msichana akipata ajira nje ya mkoa aliopo je mama yake ataendelea kumfuatilia hivyo? Kama tayari alishamjenga kiimani na kumuwekea...
  11. Choosen Branch

    JamiiForums Tanzania Hili suala la malezi ya hivi limekaaje?

    Nakushauri usome uzi kwa utulivu kisha u-comment.
  12. Choosen Branch

    JamiiForums Tanzania Hili suala la malezi ya hivi limekaaje?

    Hii nayo kali, umesoma uzi vizuri kweli Mkuu?
  13. Choosen Branch

    JamiiForums Tanzania Hili suala la malezi ya hivi limekaaje?

    Nimekuelewa vizuri Sanaa trudie, nadhani hiki ulichoandika ndicho nilitamani kusikia kutoka kwa hadhira hii, lakini nimeshangazwa na comments za watu wengi wakitukana na kuchukulia in a negative way. Bado mitazamo ya watu wengi wanaamini mtu akiuliza swali ni kama analalamika. Jamii yapaswa...
Back
Top Bottom