Recent content by chongoo

  1. C

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Maalim Seif kukabidhiwa SMZ wakati wowote

    wewe unaota, alishida wakati hakushiriki kweny uchaguzi wamarudio baada ya ule wakwanza kua haramu
  2. C

    JamiiForums Tanzania Manyara: Msafara wa Waziri Kigwangalla wapata ajali. Waziri ajeruhiwa na Mmoja afariki dunia

    poleni sana, mungu awape nguvu
  3. C

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio Marubani wa ndege yetu ya Dreamliner. Je, hakuna Watanzania wenye viwango?

    acha mambo ya ukabila ww me ni mpare ila ni ccm pure,
  4. C

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio Marubani wa ndege yetu ya Dreamliner. Je, hakuna Watanzania wenye viwango?

    watanzania hamna jema jpm chapa kazi mungu atakubariki sana usisikilize maneno ya hawa wajinga
  5. C

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio Marubani wa ndege yetu ya Dreamliner. Je, hakuna Watanzania wenye viwango?

    inawezekan akawa mpare kweli
  6. C

    JamiiForums Tanzania Fanya "kadirio la kishushushu" kuhusu "who's next" Chadema to CCM

    jpm hongera hii hama hama nijuhudi zako zakutuletea sisi watanazania maendeleo, wanaona hakuna haja yakubaki kwa mafisadi waruzuku , hapa same mashariki huyu mbunge tangia ashinde ubunge hajawahi kukanyaga jimboni hali ni mbya sana, barabara mbovu, huduma za kiafya ndio usiseme,. bungeni...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Msaafu, Fredrick Sumaye kuongea na waandishi wa habari kesho

    kwani lin na wapi aliitwa oil jitasimin
  8. C

    JamiiForums Tanzania Mkakati wa kuitoa CCM madarakani

    wewe ulieandika haya ni mpuuzi huoni maendeleo yaliofanywa na yanayoendea kufanywa na serekali ya ccm hasa yaawamu ya tano, elimu bure, ujenzi wa reli ya kisasa, ununuz wa ndege, vituo vya afya kila kona vinajengwa, miradi ya maji , kuhamia dodoma, barabar nyingi zinajengwa kwa kiwango cha lami...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mkuu wa Wilaya Mpya wa Kisarawe ni "Mtoto" wa Rais Magufuli

    hakuna tatz lolote kama mtu ana sifa sio tatizo, na jpm hapangiwi ni raisi anamamlaka yote
  10. C

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mkuu wa Wilaya Mpya wa Kisarawe ni "Mtoto" wa Rais Magufuli

    kwani udom kuna nin?
  11. C

    JamiiForums Tanzania Salamu zangu kwa Jokate, Kafulila, Mkosamalo, Jerry na Katambi...

    Muondoeni mbowe fisadi mkubwa ruzuku anakula hamhoji acheni upimbimbi,
  12. C

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Msaafu, Fredrick Sumaye kuongea na waandishi wa habari kesho

    Itakua ni furaha na nderemo kama atarud nyumbani
  13. C

    JamiiForums Tanzania Zitto: Waitara unazungumzia kumwona Lissu, wewe ulienda lini? Wabunge kila siku wana kesi za kupigania haki, hivi wauaji unaenda kushirikiana nao?

    Zitto ni mgonjwa mbona yy alihama, mwita kaongea ukweli mbowe ni mungu mtu chadema
  14. C

    JamiiForums Tanzania Zitto: Waitara unazungumzia kumwona Lissu, wewe ulienda lini? Wabunge kila siku wana kesi za kupigania haki, hivi wauaji unaenda kushirikiana nao?

    Haya machadema yanataka huruma, kwa magufuli mtaisoma no , had 2020 atabaki mbowe na familia yake
Back
Top Bottom