Recent content by chon

  1. C

    JamiiForums Tanzania Daraja la Ruvu halipitiki sababu ya maji ya Mvua - Magari ya Mikoani yakwama

    Kwa hyo JK akienda ndo maji yataisha au sijaelewa
  2. C

    JamiiForums Tanzania Daraja la Ruvu halipitiki sababu ya maji ya Mvua - Magari ya Mikoani yakwama

    Watu wengine sijui wakoje anasikia daraja limefungwa haamini mpaka akalale hapo ruvu ndo aone raha
  3. C

    JamiiForums Tanzania Kuishi Mbezi Kimara ni laana?

    Fidel80 ,hapo umenena maana ni kero vbya kuna siku mi nilikuwa natoka moro nilikaa mbezi masaa matano ndo nikfika ubungo gari haziendi wala kurudi hii barabara imekuwa kero kubwa sana
  4. C

    JamiiForums Tanzania Why mimi huu uonevu wa hali ya juu

    Haaa hyo mixer balaa, inaelekea unapenda kula ovyo utahariii___ siku moja kwenye gari.
  5. C

    JamiiForums Tanzania Tangazo la epuka michepuko

    Hahahaa na lile domo ndo kabisa akawa ameharibu tangazo
  6. C

    JamiiForums Tanzania Tatizo la maji tabata ni halisi?

    Imekuwa ni kero kwa kweli mpaka wajisikie ndo wafungulie maji
  7. C

    JamiiForums Tanzania Naombeni mnijuze namna ya ku deal na Boss alieachika....

    Mh ni ngumu unaweza ukajifanya unataka kujisogeza akakulima barua
  8. C

    JamiiForums Tanzania Kupata jina la mtoto kwenye Mtandao

    Au muite kijori
Back
Top Bottom