Recent content by Chogotz

  1. Chogotz

    JamiiForums Tanzania Msaada kuweza kuingiza pesa via simu ya mkononi

    jipange s kila kitu cha kukoment tu ukiona kitu hakiendan nawe acha kuropoka itakusaidia zaidi
  2. Chogotz

    JamiiForums Tanzania Msaada kuweza kuingiza pesa via simu ya mkononi

    ahahaha kwel ww hujitambui....,jitambue utapata jibu vzur tuu.. Huon watu wanaendesha maisha yao kuptia mtandao tuu na wana make money,huo n mteremko au waropoka tu ndgu? Tatzo ww umekalili kwamba lazima utoke jasho ndo upate pesa,huu ulimwengu mwingne baana,usiongee tu watu watakucheka mtaan...
  3. Chogotz

    JamiiForums Tanzania Msaada kuweza kuingiza pesa via simu ya mkononi

    ushamaliza tayali?
  4. Chogotz

    JamiiForums Tanzania Msaada kuweza kuingiza pesa via simu ya mkononi

    ok asantee kaka...
  5. Chogotz

    JamiiForums Tanzania Msaada kuweza kuingiza pesa via simu ya mkononi

    ndo nn mkuu?
  6. Chogotz

    JamiiForums Tanzania Msaada kuweza kuingiza pesa via simu ya mkononi

    watu kma nyie hamuwez kukosekana mahali kama humu....asante kwa kushiliki
  7. Chogotz

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kutokwa na damu baada ya kumaliza tendo la ndoa

    ahahahaha kaaah [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  8. Chogotz

    JamiiForums Tanzania Msaada kuweza kuingiza pesa via simu ya mkononi

    Habarini wandgu? Nina simu ya smarphone na huwa natumia muda mwingi saana kutumia kwa ajili ya social media n.k. Nimejitathimini na kujiuliza je kupitia hizi social media zinazonyonya muda wangu bila faida je siwezi kuzitumia ili kuniingizia pesa?bado sijapata jibu.. Naombeni ushauri nifanye...
  9. Chogotz

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    machimbo pia ya nguo za dukan mtuelekeze jmn
  10. Chogotz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeachwa..

    Tafuta mwingne tuuu
  11. Chogotz

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kutokwa na damu baada ya kumaliza tendo la ndoa

    Asanteni Nyoote Kabla Ya Kufika hospital nilijitahidi kufanya yale mliyonishauli na tatzo likatoweka kabisaaa... Na baada ya kufika hospital kupima mkojo na vingnevyo kukawa hakuna tatzo loolote zaid ya mkojo kuwa mchafu lakin s kwa kiwango kikubwa... Sasa hivi hakuna tatzo kabisa cos nafuata...
  12. Chogotz

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kutokwa na damu baada ya kumaliza tendo la ndoa

    asante saana Sakayo..ntalifanyia kazi ipasavyooo
Back
Top Bottom