Kwa yeyote mwenye connection na Soko linalo jengwa nyuma ya bus station ya kuelekea Kitunda (maeneo ya ukonga banana), tafadhari anisaidie mawasiliano na wahusika.
Nilikuwa naomba muongozo kuhusu biashara ya kusaga na kukoboa Mahindi, nilifikiria kuanzisha biashara hii, sasa nilikuwa nakusanya changamoto za hii biashara, na utendaji wake, technique za kupata soko kirahisi kwa bidhaa nitakazozalisha.
Pia Mwongozo kuhusu mashine (kampuni gani inatoa machine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.