Recent content by choga mkuu

  1. C

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kilimanjaro kuzizima muda si mrefu

    Mtanzania atakuwa wamwisho kupona
  2. C

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kilimanjaro kuzizima muda si mrefu

    Muda si mrefu Mkoa wa kilimanjaro utakuwa kwenye vichwa vya habari kufuatia mkazi mmoja wa Mwanga kudaiwa kugundua dawa ya magonjwa manne makuu ambayo ni sugu duniani pote.Mzalendo huyo kwa sasa bado yupo katika hatua ya kuzichakata na kazizalisha dawa za magonjwa hayo sugu ili kuhakikisha...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa: Tupunguze kuchamba kwingi ni hatari!!!

    true
  4. C

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Bunge inasemaje kuhusu uwakilishi Bungeni wa Tundu Lissu?

    Very sorry, kwan ilikuwaje kwa mbunge Max Wa Geita alipomaliza miaka karibia mitatu akiwa kitandan huko India ? kulifanyika uchaguzi au iliku silence like death?
  5. C

    JamiiForums Tanzania ATCL kuanza direct flights to Mumbai

    Thanks
  6. C

    JamiiForums Tanzania Tatizo la umeme kukatika Dar ni kutujaribu

    Takiriban siku tano zimepita maeneo mbalimbali ya Dar yamekuwa yakikabiliwa na tatizo la umeme kukatika, jambo ambalo limenishtua kwani ni mwezi jana tu Waziri Mkuu akiwa na mkuu wa mkoa wa Dar alipokea mitambo ya umeme ambayo kwa maelezo ingehakikisha tatizo hili linaisha lakini linaonekana ndo...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Mkufunzi wa Taasisi ya Elimu ya watu wazima hii ni aibuna dharau

    MKUFUNZI WA TAASISI YA ELIMU YA WATU WAZIMA,AFUNDISHA TUITION KWA WANACHUO MTAAN. Mkufunzi mmoja wa taasisi ya Elimu ya watu wazima Dar Luogae ameamua kuanzisha tuition kwa wanachuo wa mwaka wa pili diploma chuoni hapo kwa lengo la kujipatia kipato lakini pia kuwafanya wanachuo hao wafaulu somo...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Serikali acheni ubaguzi katika utoaji wa fedha za field ,wapeni hata walio vyuo binafsi

    Go and ask that stupid question your choir master
  9. C

    JamiiForums Tanzania Serikali acheni ubaguzi katika utoaji wa fedha za field ,wapeni hata walio vyuo binafsi

    Ujumbe umefika, hayo mengine njoo nyumban tuyazungumze tukiwa tunakunywa maziwa .
  10. C

    JamiiForums Tanzania Serikali acheni ubaguzi katika utoaji wa fedha za field ,wapeni hata walio vyuo binafsi

    SERIKALI INATUGAWA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU. TUKATAE UHARAMU HUO Serikali mnachokifanya si uungwa hata kidogo . Kitendo cha kutoa fedha za field kwa makundi kwamba wanachuo wanaosoma vyuo vya serikali ndo mnawapa wote ,halafu mnatangaza kusitisha zoezi LA utoaji Wa fedha za field kisa waliobaki...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Lipumba kitufumbue macho kuhusu ubovu Wa elimu yetu

    DJ ndo nan ,? Brother Nape? Kibajaji?José Msukuma? Au Gudluck mulinga? Ma dj wapo weng ... Ni yup kati ya hao?
  12. C

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Lipumba kitufumbue macho kuhusu ubovu Wa elimu yetu

    Huo ni mfano mmoja wapo,mupigiwa kelele suala LA ubora Wa elimu limeanza muda mrefu ... Hapa nimeonsdha uhalisia Wa kile kinachozungumzwa kwa kutumia MTU mwenye elimu ya juu sana lakin anashindwa kutumia elimu yake Ku create opportunities badala yake ana seek opportunities....
  13. C

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Lipumba kitufumbue macho kuhusu ubovu Wa elimu yetu

    Ifikie kipindi tuelewe kuwa Elimu hii tunayoipata hapa nchi inapaswa kufumuliwa ili kuruhusu vitu halisi vinavyoendana na mazingira na wakati kuingizwa...... Leo PROF LIPUMBA analilia uenyekit Wa chama ,tena chama chenyewe ni cha upinzani ,na upinzani wenyewe ulivyo mugumu ktk nchi zinazoendelea...
Back
Top Bottom