Recent content by Chobaliko

  1. C

    Kesi ya ZZK ina makosa mengi

    nyie ndo mbulula kweli, hajakataa vikao visifanyike ila amekataa swala lake kujadiliwa na kamati ambayo maamzi yake ya kumvua uanachama aliyakatia rufaa kwa hiyo cc waamue kwanza rufaa yake ndipo kamati kuu iendelee na utaratibu wake. nashangaa wanaojiita wasomi mnafuata mkumbo hata kama mtu...
  2. C

    CHADEMA: Ufafanuzi juu ya Taarifa ya Ndugu Ali Omari Chitanda

    kinajiandaa kwenda wap? wewe yericko ulipost waraka wa siri wa cdm ili kumchafua zitto lakini Mungu yupo atakuhukumu na wanafiki wenzako mnaokaa nao kwenye vikao vya siri vya kumchafua zitto. endeleeni kutuharibia chama ila mbele ya safari mtaumia kama tulivyoumia kwa usaliti wenu.
  3. C

    Ziara ya Katibu Mkuu, Dkt. Slaa mikoa ya Kanda za Magharibi, Ziwa Mashariki

    cdm chukueni ushauri wa wengi chama chetu kizidi kupeta ila asiyesikia la kufa.....waacheni akina zitto wajenge chama kuna vyama vinataman kupata watu kama hao ila haiwezekan. achen fitina tujenge chama chetu.
  4. C

    Wahamiaji haramu 194 wakataliwa na nchi zao

    unataka wawapokee wakati sio wa kwao? viongozi wetu wamekurupuka wanalazimisha watu kuwa ni wahamiaji haramu wakati ni raia wa nchi hii. usiombe yakakukuta wewe ndugu yangu.
  5. C

    Anne Makinda: Sijapata taarifa kutoka kambi ya upinzani kuwa hawatahudhuria bungeni

    Muulize makinda kwanini zile vurugu za mtwara alisitisha bunge lakini tukio la Arusha amejifanya hajui chochote na amekata kurijadili Bungeni. Nadhani kuna agenda ya chama chake anaijuia vizuri.
  6. C

    Kugombea ubunge kupitia CCM

    kwa kuwa wanaonekana kukuamin jaribu kuwaelewesha kama ubora wa kiongozi sio chama bali ni uwezo wa mgombea bila kuangalia chama alichopo. lakin kitu cha pili waelimishe kuhusu sera za Cdm zilivyo nzuri na bora kwa maendeleo ya wanasame.
  7. C

    Barclays Bank Vacancies

    Sasa mimi nimechelea kuomba nifanyeje jamani?
Back
Top Bottom