Recent content by CHLOVEK

  1. C

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa TISS huwa si maarufu, Ilikuwaje Marehemu Membe awe maarufu kwa utumishi wa TISS?

    Mbona umemsahau Dr. Khalid, Generali Imran Kombe!!
  2. C

    JamiiForums Tanzania Nchi ngumu: Mashirika ya Umma 38 hayana Wajumbe wa Bodi za Wakurugenzi. Sasa lile Gawio kwa JPM lilikuwa linaidhinishwa na nani?

    Hebu weka uthibitisho wa picha tushangae na kuchoka.🤭
  3. C

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Naibu Waziri Katambi azindua daraja lillilogharimu Mil 100

    Afisa kipenyo aliyepenyezwa Chadema.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla na Maulid Kitenge ni watu wa kitengo? Story za Ngorongoro na ukimya wa mahojiano bungeni ni alert tu

    Kwa kweli nilishangazwa sana kwa ile gesture ya Kitenge na kauli ya 'utaharibu" Kwa kifupi ni kuwa Kitenge alimkaripia yule askari kuw aamekwenda kinyume na mafunzo na alijtokeza kama mtu anayeujua mfumo. Yule askari alitii na wale wengine waliokuwepo waliyeyuka.
  5. C

    JamiiForums Tanzania Mambo haya ya siasa bhana, acha ikae hivyo hivyo!

    Acha ibaki hivyo hivyo.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo picha Zanzibar CCM Urais itachezwa

    UTABIRI WANGU: Kama prof. Mbarawa atapita na kuchaguliwa kuwa Rais wa Zanzibar, basi 2025 huenda akachukua fomu ya kugombea u Rais wa Tanzania, na iwapo atafanikiwa kuwa Rais, basi ile katiba ya Judge Warioba italetwa mezani, kwani kama Taifa tutakuwa tumejifunza mengi, kwa mfano, madaraka...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Historia ipo kututukumbusha mengi, kiburi hakisaidii

    Sijui huwa taratibu zikoje za kuweka hadharani matukio yaliyokwisha pita muda mrefu, ila Mheshimiwa Mabere Nyaucho Marando anaweza tusaidia kwa hili, inasemekana kuwa yeye aliongoza kikosi cha kumkakata Captain Tamimu (komandoo), hawakufanikiwa kumkata hai, kwani aliuwawa kwa kupigwa risasi...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Historia ipo kututukumbusha mengi, kiburi hakisaidii

    Ninakumbuka Muamar Ghadafi alitupa msaada wa mafuta kulipa fadhila za mateka wa Libya waliotekwa kwenye vita ya Uganda. Hali ya nchi kiuchum ilikuwa mbaya sana. Lugakingira na akina Mcgee, Mapunda, Kamando na wengineo wakaanza kupanga yao. Tumshukuru sana marehemu Mahiga wakati huo akijulikana...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Historia ipo kututukumbusha mengi, kiburi hakisaidii

    Vijana someni habari za kampuni la LONRHO hapaTanzania mpate kujua nchi ilkopitia.
  10. C

    JamiiForums Tanzania Kitila Mkumbo zaidi ya umjuavyo

    Kwa wanaojua kuchambua tu. ACT= tawi la kitengo. Sababu chache ni hizi. Zitto=Juisa=Ristom=Jaki zuku= B. Maembe J.K. Nyenyere=Sefu.
  11. C

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli Unasababisha Chuki na Uchochezi Dhidi ya Wachaga

    Halafu unaweza kukuta huyo mwanamke ni Msukuma wa Chatto lakini kaolewa na Mushi.
Back
Top Bottom